Ndugu yangu, naitwa EMMANUEL KIMANISHA. Ninapatikana Dodoma. Mara nyingine, kwa nyakati tofauti tofauti huwa ninakuwepo Mbeya au Rukwa pia.
—Ninapenda sana kufahamiana na watu wengi mbalimbali, kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu].
—Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi.
Naomba nikukaribishe pia ujitambulishe kwangu pia; kwa kuniambia unajihusisha na nini kiuchumi au kibiashara, pia hata upatikanaji wako [Njoo wasapu: 0743517138]
★★★★★★★★★★
Unayesoma na kuliangalia tangazo hili ni kama ndugu, jamaa na rafiki wa jamii ya kifalme ninayoiheshimu. Karibu sana katika programu na huduma zinazotolewa kupitia intaneti—ukiwa popote ulipo. Umbali siyo kikwazo kwetu.
📚👨🏽💻📓,
1. Ninadizaini picha na matangazo ya matukio na ya biashara, logo za biashara na profile, business card n.k. Bei ni Tsh 3,500 - 25,000 (kutegemeana na aina).
2. Ninadizaini kalenda za miaka ya mwaka 2021; zenye picha za mteja. Bei Tsh 4,500.
Zile za ofa ya muda mfupi ya Tsh 1,500 zinatengenezwa HAPA [CLICK]
3. Ninaelekeza namna ya kudizaini matangazo, business cards, logo rahisi—kwa kutumia smartphone_na kuziuza Mtandaoni (kwa wateja wengi waliopo wasapu). Bei Tsh 4,500.
[Mpangilio wa maelekezo na njia]
Ofa ya muda mfupi [—Tsh 2,500] inapatikana HAPA [ANGALIA].
4. Ninakusaidia kupata namba nyingi za Wasapu—na kukupa mbinu za kunufaika na namba hizo_katika kuandaa na kupata wateja wengi kupitia Wasapu. Tsh 5,500/hatua ya awali ya programu.
[Mpangilio na njia]
—•••—•••—•••—•••—•••—•••
Tunafanikisha yote haya; vizuri kabisa ukiwa popote ulipo—kupitia intaneti.
★★★★★★★★★★★★★★★★
IKIWA KUNA JAMBO UNAHITAJI KUFAHAMU VIZURI KABLA; NIULIZE KWA WASAPU, HAPA.
POSTI NYINGINE
Comments
Post a Comment