KALENDA [2020 & 2021] YENYE PICHA ZAKO.
Kwa mara nyingine tena, ninakutengenezea kalenda nzuri mno; yenye maneno na picha unazotaka zionekane kwenye kalenda hiyo.
Bei yetu kwa sasa imeshushwa na kufikia kiasi cha ofa ya shilingi elfu nne mia tano tu (Tsh 4,500).
Utatuma tu picha zako unazotaka zionekane kwenye kalenda yako, kisha ndani ya dakika chache; kalenda yako itakuwa tayari. Mara baada tu ya kukamilika utatumiwa kwanza kwa wasapu, ili kuiangalia inavyokuwa kisha fomati nzuri ya PDF, kwa ajili ya kuitoa kwenye karatasi au picha kubwa—huko uliko, itatumwa. Karibu sana.
Utaifurahia sana. Ina mwonekano mzuri mno. Popote ulipo jambo hili linawezekana.
Wale walio karibu na Dodoma mjini na wale walio maeneo ya karibu na Sumbawanga mjini wanapata kalenda zao zikiwa zimetolewa moja kwa moja kwenye karatasi (printed).
Kwa hawa wanaozipata zikiwa zimechapwa (printed) ni shilingi elfu saba tu (Tsh 7,000).
Karibu sana.
Ikiwa unahitaji kalenda ya namna hii njoo inbox kwangu; moja kwa moja, kwa Wasapu kwa kufungua HAPA [ili pia upate maelekezo mengine].
UTAZIFURAHIA KABISA, TUMA PICHA ZAKO KWA WASAPU AU BARUAPEPE. TUNAZIPOKEA NA KUKUTENGENEZEA NDANI YA MUDA MFUPI SANA. USIPITWE, KARIBU SANA.

POSTI NYINGINE
Nice
ReplyDeleteBe blessed.
ReplyDeleteThank you for your comment.
Welcome to this service.
That's good
ReplyDeleteKeep it up
Much thanks to you.
Delete