Skip to main content

KUWAUZIA WATEJA WENGI—KUPITIA WHATSAPP.

Ili utangaze bidhaa na huduma zako sawasawa—kwa wateja wengi na wa uhakika waliopo wasapu.

•~• Ukiwa hapa; wateja wako ni wengi na hawana kikomo.




THE COMMON ONLINE MERCHANDISING HOME (COM-H).
•~• Wafanyabishara kuwafikia watu wengi sana wanaopatikana kwa urahisi kupitia wasapu, ndani ya muda mfupi.

Nakukaribisha sana rafiki, kwenye nyumba yetu ya mtandaoni; mahali utakapoweza kutangaza biashara au huduma yako kwa ufanisi mkubwa sana, na kujichotea wateja wako wengi na wa uhakika—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp.

Kuna dokumenti yetu nzuri yenye maelekezo mazuri sana, tunayoweza kushea kwako bure; ikiwa unahitaji kufahamu zaidi kuhusu namna nyumba yetu ya mtandaoni [—The Common Online Merchandising Home (COM-H)] itakavyokunufaisha katika jambo hili.

Dokumenti yetu ipo katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF) na unaweza kuipata kwa kupitia WhatsApp (—inbox) au kwa baruapepe (e-mail) yako. Ina kurasa chache na unaweza kuisoma vizuri ndani ya dakika chache pia.

Yaliyomo kwenye dokumenti hiyo ni:
SEHEMU YA KWANZA: MFUMO WA UTENDAJI WETU.
  1.  Jinsi tunavyofanikisha mambo haya kwa ajili yako.
  2. Wewe mfanyabiashara (mwenye bidhaa/huduma) utafanya nini na kunufaika vipi?


SEHEMU YA PILI: KUONGEZA UFANISI.
  1. Posti yako pekee.
  2. Umuhimu wa posti yako pekee.
  3. Kujichotea wateja wengi zaidi kutoka WhatsApp—wanaofika kwenye posti yako pekee [kwa uhakika na utulivu].
  4. Tengeneza sasa; dokumenti rahisi ya PDF (softcopy) inayobeba na kutembeza duka lako—kwa urahisi sana mtandaoni—kupitia Whatsapp.
  5. Jifunze kukusanya na kuwa na hazina kubwa ya kudumu; hazina ya namba nyingi sana za wasapu (saved whatsapp contacts)—kwa njia nzuri, rahisi na haraka.

Rafiki, naomba kufahamu ikiwa upo tayari kuipokea na kuiangalia dokumenti yetu—ili nikutumie sasa hivi.

IKIWA UNAHITAJI KUPATA MAELEKEZO KWENYE DOKUMENTI YA PDF, INAPATIKANA KWA KUIPAKUA HAPA [DOWNLOAD pdf] WASAPU.

WHATSAPP INBOX DOOR [NJOO INBOX HAPA].

AU INGIA MOJA KWA MOJA KWENYE KIKUNDI CHA COM-H KWA KUGUSA HAPA

https://chat.whatsapp.com/G4lPzUeEBVG60a3vhbjjw8



Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...