Skip to main content

MANUFAA YA KUJIFUNZA GRAPHICS SASA



★—★—★—GRAPHICS—MTANDAONI [katika fomati za 
picha au PDF]. 

Rafiki yangu, sijajua kama unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangaza, picha za logo, makava ya vitabu, [na hizo nilizoziweka ukurasa wa mwisho wa posti hii] na nyingine nyingi, ambazo ni nzuri na rahisi ili kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni? kwa urahisi (kama softcopy).

Hivi sasa wateja wengi wa graphics za namna hiyo, wanapatikana kwa urahisi sana kupitia wasapu. Unaamua mwenyewe unataka kuwafikia watu wa aina gani na wa nchi zipi. Idadi ya watu wanaoweza kuwafikia kupitia wasapu haina kikomo.

★—$—Kuna App moja nzuri na rahisi sana kuitumia kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa ya namna ya kuanza kutumia Adobe Photoshop n.k]. Ni App ambayo ukiipakua kwenye simujanja (Smartphone) yako, hususan zile zinazotumia mfumo wa Android ™ , utaweza kuitumia vizuri kabisa.

★—$—Unaweza kuwatengenezea watu wanaokuhitaji uwatengenezee na kuwatumia katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kwa Whatsapp na baruapepe (e-mail) katika hizo fomati za picha au dokumenti za PDF [wanaohitaji kuzichapa (print)] kwenye makaratasi kule waliko. 

Wateja wako wanakulipa kwa mobile money [kama M-pesa Halopesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k]. Ikiwa wateja wako wengine ni wale waliopo nchi zingine za nje, wao watakuwa wanakulipa kwa link za kupokelea malipo Mtandaoni [—unazoweza kufungua akaunti kwa PayPal, Payoneer, Clickpesa, Pesapal, DirectPay n.k]

★—$—Unaweza kujitangaza kwa urahisi zaidi kupitia Whatsapp na kwa kujifungulia blogu ndogo, ya gredi ya bure, kwa urahisi [kwa maelekezo tunayoweza kukuelekeza] ili kupakia (Upload) sampuli kadhaa za Graphics zako kwenye posti fupi fupi na rahisi, zionekane kwa wengi mtandaoni.

★—Ninazo hapa audio nne, fupi fupi zilizo katika fomati ya mp3, ambazo ni rahisi sana kuzielewa unapozisikiliza, zinazokupa maarifa na hatua zote muhimu —kwa undani. 


Lakini pia ipo link kwa ajili ya kuipakua na ku-install App niliyoielezea mwanzoni, itakayokusaidia kuanza ku-dizaini Graphics nzuri urahisi na kuziuza mtandaoni [kwa maelekezo zaidi utakayozidi kuyapata].

Unaweza kuzipata (audio hizo pamoja na link hiyo) hata sasa kupitia WhatsApp [ni mp3], baada tu ya kulipia shilingi elfu saba (7,000) [bei ya ofa ya muda mfupi] badala ya shilingi elfu kumi na moja (Tsh 11,000) bei ya kawaida— kwenda namba 0743517138. Pia baada tu ya kulipia kiasi hicho na kutumiwa audio za maelekezo hayo utatumiwa na link ya kuipakua App hiyo, vilevile utaunganisha kwenye kundi letu la 'Online—Multifarious Knowledge House 04', mahali unapoweza kuuliza maswali yako yote, baada ya kusikiliza audio hizo na kuanza kuitumia App hiyo.

★—$—Rafiki, Ikiwa unahitaji kuzipata audio hizo na App hiyo, ili uwe miongoni mwa watu wanaonufaika na utumiaji wa maarifa na maelekezo haya mazuri— kwanzia leo;
fungua kwa kugusa HAPA ili kuzipata kwa WHATSAPP, ikiwa unatumia WHATSAPP. 

★★••° Tunatumia audio za kila kipengele na dokumenti fupi fupi sana, kwa wepesi wa kukusaidia kuelewa haraka mno (ndani ya siku chache). 
KARIBU SANA, TUNAKUPENDA. 

0743517138.
0657178911.
EMMANUEL KIMANISHA.
emmanuellibraries@gmail.com https://eol777.blogspot.com 


Hapa chini ni mifano kadhaa ya Graphics ambazo nilizitengeneza kwa kutumia App hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...