Skip to main content

SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX.


Rafiki yangu, naamini kabisa kuwa; wewe ni mtu muhimu sana, ikiwa tutakuwa na mitazamo chanya.

Mimi najua na kuamini kuwa katika biashara yangu yoyote nahitaji watu, tena watu ambao watafahamu vizuri uhalisia  wa namna nzuri na ya uhakika, vile wanavyoweza kufurahia huduma na bidhaa zangu; kwa furaha na amani.

Katika biashara na huduma zako; naamini mimi ni mtu muhimu pia, ni miongoni mwa watu ambao wakifahamiana na wewe ni rahisi kununua kwako au kuhudumiwa na wewe—kuliko mtu mwingine yeyote ambaye sina mahusiano mazuri naye.

Naitwa EMMANUEL Kimanisha. Napatikana Dodoma, mara nyingine [kwa nyakati tofauti tofauti] ninapatikana pia Mbeya na Rukwa. Nimejisikia furaha na amani sana kukutana na wewe kwenye mawasiliano haya.

Sababu hasa ya mimi kukufuata ni kwamba;
—Mimi napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. 

—Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi. 

Napenda kutanguliza mazingira mazuri ya kufahamiana na kufahamishana.

Nitafurahi sana ikiwa utajitambulisha kwangu pia; kwa kueleza, unajihusisha na biashara au huduma gani. Vilevile hata kuhusu upatikanaji wako. 

Naomba nijitambulishe kwa ufupi sana, mengine tutaendelea kujuzana na utanijuza yale unayoona ni vyema kutambulisha kwangu; mimi ninajihusisha na biashara na utoaji wa huduma zifuatazo, kwa kupitia intaneti—popote ulipo:

1. Nina-dizaini [GRAPHICS] picha za matangazo, mabango ya nukuu, makava ya vitabu, business card, picha za utambulisho Whatsapp, logo za aina tofauti tofauti na nyingine nyingi 
[TSH 3500 hadi 15000]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

2. Nakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (documents) kwa haraka, kwa Transcriptional Typing 
[Tsh 350/p] [ ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

3. Ninakusaidia kusevu namba nyingi sana za watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka 
[Tsh 30/c]; kwa kupitia EO Gadgets 77. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

4. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja wako wa uhakika—miongoni mwa watu wengi waliopo Whatsapp. [ndani ya siku chache mno (5 hadi 7).
[Tsh 5,500/mafunzo]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

5. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna ya kutengeneza (ku-dizaini) picha za graphics—kwa kutumia App nzuri sana inayofanya kazi vizuri hata kwenye Smartphone [ndani ya siku chache mno (5 hadi 7).
[Tsh 4500]. [ANGALIA hapa—mtandaoni]
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••—•••—

6. Pia kuna maarifa mengine niliyoyaweka kwenye programu fupi fupi ili zipatikane kwa bei ndogo sana 
(Tsh 3,500 hadi 7,000).  [ANGALIA hapa—mtandaoni]



—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••
—•••——•••——•••——•••——•••——•••——•••
Unaweza pia kutembelea blogu zangu hizi hapa:.
https://zsm77.blogspot.com 
[Royal Business Mind]→HAPA

https://eol777.blogspot.com 
[Emmanuel Online Library]→HAPA

https://orm-88.blogspot.com 
[Ofisi Rahisi ya Mtandaoni].→HAPA





Kazi zangu huwafikia watu kwa e-mail au Whatsapp—katika fomati za kielektroniki (softcopy). Bei zangu ni ndogo sana; kuliko ulivyodhani.



Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...