Skip to main content

TUNAKUSAIDIA KUANDIKA KWA HARAKA—KWA BEI NDOGO

EMMANUEL ONLINE TYPING AND TRANSCRIPTION GADGET 7 (EOTTG 7).

Tunakusaidia kuandika kwa haraka (Transcriptional Typing), kazi mbalimbali (dokuments) na kukupatia huko huko uliko—ikiwa kwenye fomati ya kielektroniki (Softcopy, PDF/word).

—★—Bei ni Tsh 350/ukurasa. Kazi yako inatumwa haraka kwa Whatsapp au baruapepe (email) yako.

★—~• Wewe unatuma tu picha za kurasa ulizoandika kwa mkono, picha ya karatasi ya zamani unayotaka iwe softcopy (Word au PDF) au audio unayotaka maneno yake yawekwe kwenye maandishi.

Ikiwa unahitaji kusaidiwa kuandika kazi yako haraka wakati huu; nitaarifu kwa namba ya simu: 0743517138.

Au kama unatumia WhatsApp wakati huu, nitaarifu kwa kuja inbox kwangu moja kwa moja kwa KUFUNGUA HAPA.



POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
  1. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
  2. Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]
  3. Upatikanaji wa Graphics zako nzuri—kwa bei rahisi [HAPA]

Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...