Skip to main content

FURAHA YAKO—POPOTE ULIPO.

Hii ni kwa ajili yako. Utafurahia sana maamuzi yako. Tupo kwa ajili yako. Upendo, furaha na amani katika kuhudumia. Tunajisikia vizuri sana kufanya hivyo. Jisikie huru na uwe na amani.


Tunashiriki furaha yako kwa kukusaidia katika mambo yafuatayo:

1. Kukutengenezea graphics nzuri kwa bei ndogo [HAPA{✓}].

2. Kukuandikia kazi zako za maandishi vizuri —kwa haraka [HAPA{✓}].

3. Kukuelekeza namna ya ku-dizaini picha za graphics kwa App nzuri sanakwenye Smartphone [HAPA{✓}].

4. Kukuelekeza namna ya kufungua blogu ndogo na rahisi ya gredi ya bure, kwa kutumia Smartphone [HAPA{✓}].

5. Kukuelekeza namna nzuri ya kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja wako wengi —miongoni mwa mamilioni ya watu wengi wanaotumia WhatsApp [HAPA{✓}].


  • Naomba uniambie jambo unalohitaji kupata ufafanuzi wake zaidi kwa namba 0743517138 [ipo pia WhatsApp]. Au Ikiwa unatumia WhatsApp wakati huu, GUSA KWA KUFUNGUA [HAPA].


Emmanuel Online Gadgets 77.
EO Gadgets 77.
©2020.
☏ +255 657 178911
☏ +255 743 517138
emmanuellibraries@gmail.com
https://eol777.blogspot.com



Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...