Kuna mbinu nne ambazo tumeziambatanisha na mambo manne yanayoweza kukusababishia kuwa na eneo lako binafsi na lenye wateja wengi wasio na idadi—kwenye mtandao wa intaneti.
LA KWANZA.
WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP (5W≈ W^5).
—$—Mbinu na njia nzuri za kufaidi wateja wengi miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp—Inchini kwako, Barani kwako na Duniani kote.
YALIYOMO:
- Sababu zinazoonyesha unaweza kuweka mkakati wa kukuletea uhakika wa wateja wengi—kila siku.
- Njia tatu rahisi na za haraka katika kukusanya na kusevu namba nyingi za watumiaji wa Whatsapp.
- Namna nzuri [ya kukushangaza] ya kunufaika na namba nyingi za Whatsapp utakazokuwa unazisevu—kwa namna rahisi tuliyoelekeza.
- Mlango mwingine unaofunguka; baada ya kukamilisha yaliyo katika vipengele vilivyopita.
- Mambo mazuri ya kuanza nayo; kwa wale wasio na biashara ya kuwaletea wateja wa uhakika—kupitia Whatsapp.
Bei yake ni shilingi elfu mbili mia tano tu (Tsh 5500/-) kwa sasa. —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha.
Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya mambo haya. Ikiwa unatumia WhatsApp saa hizi, njoo inbox kwangu kwa kufungua au KUGUSA HAPA (Click).
2. LA PILI. .
PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.
—★—$—Namna nilivyoanza na ninavyouza Graphics zangu rahisi mtandaoni.
Yaliyomo (vipengele) kwenye maelekezo ya jambo hili ni:
- Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
- Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
- Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
- Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Maelekezo yake yote yapo kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni [Emmanuel Online School and Library].
Bei yake ni shilingi elfu moja mia tano tu (Tsh 4500/-) kwa sasa. —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha.
Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya mambo haya. Ikiwa unatumia WhatsApp saa hizi, njoo inbox kwangu kwa kufungua au KUGUSA HAPA (Click).
3. LA TATU.
KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI.
CODE: Selling Your Documents (PDF) Online (SYDO 77).
YALIYOMO:
- Urahisi uliopo hivi sasa —katika kuuza maandishi/vitabu vyako mtandaoni.
- Njia rahisi ya kuandika dokumenti au vitabu vyako kwa haraka—Kwa simujanja (Smartphone) yako tu.
- Kwa nini ni vyema pia uuzie mtandaoni?
- Blogu nzuri na rahisi ya kuanza nayo—katika kuuza dokumenti au vitabu vyako.
- Mbinu nzuri na rahisi ya kuwatambua, kuwafikia na kufaidi wateja wengi wa maandishi/vitabu vyako—mtandaoni.
Maelekezo yake yote yapo kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni [Emmanuel Online School and Library].
Bei yake ni shilingi elfu mbili mia tano tu (Tsh 5000/-) kwa sasa. —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha.
Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya mambo haya. Ikiwa unatumia WhatsApp saa hizi, njoo inbox kwangu kwa kufungua au KUGUSA HAPA (Click).
4. LA NNE
MILIKI SHULE YAKO RAHISI YA MTANDAONI.
★—$—Namna rahisi ya kuigeuza blogu yako ya bure na kuanza kuitumia kama SHULE YAKO.
YALIYOMO:
- Hatua chache za muhimu katika kufungua blogu ndogo na rahisi—kwa kupitia majukwaa maalumu ya mtandaoni.
- Hatua chache za muhimu katika kuifanya blogu yako iwe shule ya mtandaoni.
- Namna nzuri ya kushirikisha mafunzo yaliyolipiwa na wanafunzi wako–kwenye blogu yako ya bure.
- Unapata wapi wateja au wanafunzi wako?
★—$—The Free Blog As An Online School & Library.
★—$—Using your free blog as an online school.
Maelekezo yake yote yapo kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni [Emmanuel Online School and Library].
Bei yake ni shilingi elfu mbili mia tano tu (Tsh 4000/-) kwa sasa. —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha.
Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya mambo haya. Ikiwa unatumia WhatsApp saa hizi, njoo inbox kwangu kwa kufungua au KUGUSA HAPA (Click).
~POSTI ZILIZOSOMWA NA KUPENDWA NA WATU WENGI:
1. Soko zuri la uhakika—lililopo mtandaoni.>>>[SOMA]
2. Furahia sana—popote ulipo.>>>[SOMA]
Comments
Post a Comment