Skip to main content

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs.
Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp.

—$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea: 
Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi.

Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu.
Simu/WhatsApp: 0743517138.
Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com
IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138.
AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA KUFUNGUA HAPA.



HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA: 
↓↓↓↓↓↓↓
↓↓↓↓↓↓↓














Add caption















































































































NA NYINGINE NYINGI SANA; TUMEZIWEKA KWENYE DOKUMENTI MOJA YA PDF, UNAYOWEZA KUIOMBA NA KUIPATA KUPITIA WHATSAPP [KWA NAMBA 0743517138]. UNAWEZA KUIPATA DOKUMENT HIYO BURE NA KUZIANGALIA PICHA ZETU ZA GRAPHICS —KWENYE DOKUMENTI HIYO.



Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...