Miongoni mwa Mamilioni ya watu wanaotumia Whatsapp—nchini kwako, barani kwako na duniani kote, kuna wateja wako wa uhakika.
EO Gadgets 77 Tunakusaidia kusevu namba zote za washirika wote wa makundi yote ya Whatsapp uliyopo na yale utakayojiunga—kwa haraka sana na kukutumia inbox kwako zikiwa tayari. Vilevile tunakuelekeza namna ya kufaidi upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika—kupitia namba hizo za WhatsApp.
Si hivyo tu bali pia ukitaka, tunakuelekeza namna nzuri na rahisi ya wewe mwenyewe kusevu namba nyingi za watu wanaotumia WhatsApp—kwa haraka (kwa kutumia smartphone yako).
Kwa msaada wa audio na dokumenti fupi fupi na kuunganishwa kwenye kundi letu la WhatsApp, unaelekezwa namna nzuri ya kuzitumia namba hizo [mbinu ya P2P Sales Prospecting]— kuwatambua na kuwapata wateja wako wa leo na kuwaandaa wateja wengine wengi sana wa siku zijazo, miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia Whatsapp [Nchini kwako, Barani kwako na hata Duniani kote].
UKITAKA KUELEWA VIZURI ZAIDI—NI NAMNA GANI UTANUFAIKA NA JAMBO HILI, SOMA DOKUMENTI YETU FUPI YA UTANGULIZI (INA KURASA 7 TU). INAPATIKANA BURE KABISA KWA WHATSAPP NAMBA 0743517138.
AU GUSA HAPA ILI KUIPATA SASA HIVI.
Comments
Post a Comment