Skip to main content

TENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.

 PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI. 

—★—$—Namna nilivyoanza na ninavyouza Graphics zangu rahisi mtandaoni.

Yaliyomo (vipengele) kwenye maelekezo ya jambo hili ni:
  1. Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
  2.  Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
  3. Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
  4. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Maelekezo yake yote yapo kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni [Emmanuel Online School and Library].

Bei yake ni shilingi elfu nne mia tano tu (Tsh 4500/-) kwa sasa. —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha.

Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya mambo haya. Ikiwa unatumia WhatsApp saa hizi, njoo inbox kwangu kwa kufungua au KUGUSA HAPA (Click).







    Comments

    Popular posts from this blog

    GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

    ★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

    KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

    Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

    OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

    Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...