Skip to main content

FURAHIA SANA—POPOTE ULIPO.



Umbali siyo kizuizi kwetu. Popote ulipo unaweza kufurahia uwepo wetu kwa namna tunayoweza kukuhudumia. Kwa kila jambo unaloweza kufurahia kwa uwepo wetu mtandaoni; fungua eneo lolote hapo chini, kwa lile ambalo unatamani kufurahia vizuri zaidi.


  1. Furahia Ku-dizaini picha hizi za GRAPHICS mwenyewe (—kwa App kwenye Smartphone) na hata kuziuza mtandaoni.>>>>HAPA.
  2. Furahia soko zuri la uhakika—mtandaoni.>>>>HAPA
  3. Furahia Wateja Wako Wengi Waliopo Whatsapp.>>>>HAPA
  4. Furahia kusaidiwa kuandika kwa haraka.>>>>HAPA
  5. Furahia kupata Graphics nzuri—kwa bei ndogo .>>>>HAPA
  6. Furahia kusevu namba nyingi za mamilioni ya watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka.>>>>HAPA
  7. Furahia kufahamu kuhusu mwandishi Emmanuel K. >>>>HAPA
  8. Furahia kumiliki shule yako rahisi—mtandaoni.>>>>HAPA
  9. Furahia kuuza maandishi yako mtandaoni>>>>HAPA



★—••• Jisikie huru, uamuzi mzuri ni wako—upo mikononi mwako.

★—••• Amua leo na uanze kupata matunda [matokeo mazuri ya uamuzi wako, kwanzia leo].





  • EO Gadgets 77 Designs.
  • Emmanuel Online Typing and Transcription Gadget 7 (EOTTG 7).
  • Emmanuel Online School and Library (EOSL).















Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...