Skip to main content

SHULE YAKO NDOGO NA RAHISI YA MTANDAONI.

Sasa unaweza kushirikisha maarifa ya mawazo yako yenye tija au maarifa ya uzoefu wako mzuri—kwa njia ya intaneti, kwa namna itakayokulipa vizuri sana.


Unaelekezwa vizuri, namna nzuri ya kufungua blogu yako ya gredi ya bure mwenyewe, kwa kutumia smartphone yako—kwenye jukwaa la mtandaoni la Blogspot.

★—$—Pia naelekeza namna rahisi sana ya kuanza kuitumia blogu hiyo ndogo [ya gredi ya bure] kama shule yako au duka lako rahisi la mtandaoni—katika kuanza kuuza dokumenti zako, audio na video—mtandaoni.

YALIYOMO:
  1. Hatua chache za muhimu katika kufungua blogu ndogo na rahisi—kwa kupitia majukwaa maalumu ya mtandaoni.
  2. Hatua chache za muhimu katika kuifanya blogu yako iwe shule ya mtandaoni.
  3. Namna nzuri ya kushirikisha mafunzo yaliyolipiwa na wanafunzi wako–kwenye blogu yako ya bure.
  4. Unapata wapi wateja au wanafunzi wako?
★—$—The Free Blog As An Online School & Library.
★—$—Using your free blog as an online school.

Maelekezo yake yote yapo kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni [Emmanuel Online School and Library].

Bei yake ni shilingi elfu mbili mia tano tu (Tsh 4500/-) kwa sasa. —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha.

Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya mambo haya. Ikiwa unatumia WhatsApp saa hizi, njoo inbox kwangu kwa kufungua au KUGUSA HAPA (Click).

Programu zetu pia zinawekwa kwenye maktaba na shule yetu ya mtandaoni [Emmanuel Online School and Library (EOSL)]. Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu waliolipia programu yoyote na kutumiwa e-mail ya kukuingiza (invite) kwenye shule yetu, GUSA HAPA ILI UFIKE NA KUTEMBELEA.


Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...