Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2021

SEHEMU YA UCHUMI ULIOPO WHATSAPP.

KARIBU, UTUTEMBELEE LEO: Emmanuel Online Library.

  JINSI YA KUFIKA KWENYE UFAFANUZI WA KILA JAMBO KWENYE UKURASA HUU. ------------- Hapa chini kuna orodha ya mambo, sawasawa na hayo yaliyoonyeshwa hapo juu kwenye picha.  Kwa hiyo, ili kuangalia ufafanuzi na maelezo ya kina kuhusu jambo lolote, miongoni mwa haya manne,  fungua maandishi ya rangi ya bluu yaliyoandikwa VISIT ; hapa chini: 1.  Ufafanuzi kuhusu vitabu 7; vya maarifa ya sehemu nyingine ya uchumi uliopo WhatsApp, tembelea  HAPA [VISIT] . ______ 2.  Ufafanuzi kuhusu huduma za kukutengenezea graphics mbalimbali unazohitaji, tembelea  HAPA [VISIT] . ______ 3.  Ufafanuzi kuhusu darasa la maelekezo ya namna ya kutengeneza graphics kwa kutumia smartphone, tembelea  HAPA [VISIT] . ______ 4.   Ufafanuzi kuhusu darasa la mbinu nyingine (mpya) ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—kwa utumiaji wa lebo maalum, tembelea  HAPA [VISIT] . ________________ UBAO WA MATANGAZO  [kwa picha]: -----------

KITABU KINACHOUZWA TSH 4,500 [softcopy—PDF].

Kitabu hiki kinapatikana katika fomati ya kielektroniki (softcopy—PDF). Kinatumwa inbox kwako WhatsApp, baada tu ya kufanya malipo na kutoa taarifa. Unaweza pia kupata ufafanuzi mwingine wowote unaohitaji kabla ya kulipia, kwa kuingia INBOX KWETU kupitia link HII>>>https://wa.me/255738609426

KITABU KINACHOUZWA TSH 1,000 [softcopy—PDF].

Kitabu hiki kitatumwa inbox kwako, WhatsApp mara baada tu ya kufanya malipo, na kutoa taarifa ya muamala wako. Toa taarifa ya kuhitaji kutumiwa kitabu hiki inbox kwetu kwa kuingia HAPA [INBOX DOOR]>>>>https://wa.me/255738609426

Downloadable Products Library & Services—TODAY

ULIZA LOLOTE KUHUSU HAYA YALIYOPO HAPA; KWA KUJA MOJA KWA MOJA INBOX KWETU HAPA >>>>https://wa.me/255738609426

KITABU KINACHOUZWA TSH 1,000 (softcopy—PDF).

Kitabu hiki hutolewa bure kama ofa (tangu mwanzoni mwa mwezi Aprili) , unaponunua kitabu kingine chochote miongoni mwa vile vitabu saba (7) vilivyopo HAPA ; vyenye maarifa kuhusu sehemu nyingine ya uchumi uliopo WhatsApp. Kitabu hiki kinapouzwa pekee yake huuzwa kwa bei hii ya TSH 1,000 (elfu moja) . Kipo katika fomati ya PDF; ukilipia kwenda namba 0763 258 095—Emmanuel Kimanisha , kitabu hiki kinatumwa inbox kwako, WhatsApp. _________ Ufafanuzi Wa Utangulizi [Kwa Ufupi] Kuhusu Yaliyomo Kwenye Kitabu Hiki. Baada ya kusoma kitabu hiki;  • Utafahamu huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja  (smartphone) yako tu.  • Utaweza kutumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zinazoelezewa hapa ni:  ✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp ✓ Kifurushi cha intaneti. ✓ Simujanja (Smartphone). ✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni. ✓ Apps za kufanikisha kazi ...

MAKTABA: Kila Kitabu TSH 2,500 (softcopy).

YALIYOMO: • Orodha Ya Vitabu Vilivyopo. • Utangulizi Wa Kila Kitabu—Kwa Ufupi. • Ubao Wa Matangazo. __________ Vitabu hivi vipo katika fomati ya PDF (softcopy). Unapohitaji kitabu husika, unafanya malipo kwa namba yetu ya malipo  (0763 258 095—Emmanuel Kimanisha) , na kueleza kitabu ulicholipia. Kitabu kitatumwa inbox kwako, WhatsApp. Ukinunua kitabu chochote, utaongezwa kwenye kikundi cha whatsapp  (Income Library) , mahali pa kuwasilishwa jambo lolote unalohitaji kuelewa zaidi kutoka kwenye kitabu husika—na kupewa ufafanuzi. __________ ORODHA YA VITABU VILIVYOPO: 1. Kutengeneza graphics Kwa smartphone na kuziuza kwa WhatsApp.  2. Kuongeza upatikanaji wa wateja wengi kupitia WhatsApp.  3. Kufungua blogu ndogo rahisi mwenyewe—kwa smartphone.  4. Unavyoweza kuuza maandishi yako mtandaoni.  5. Maarifa na uzoefu wako ni kipato Mtandaoni.  6. Andika kwa mkono na uuzie mtandaoni.  7. Online Typing—kipato kwa kuandika kwa ajili ya wengine mtandaoni. ___...

Emmanuel Digital Products Library

Karibu kwenye  Maktaba Ndogo Ya Mtandaoni   (kwa ajili ya vitabu (PDF), graphics, audio & video fupi fupi)  mahali ambapo kwa sasa unaweza kufanikisha mambo manne (4): 1. Unaweza kupata vitabu vidogo vidogo [softcopy]  (kwa Tsh 1,500-2,500)  vyenye maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp. 2. Unaweza kupata huduma za kutengenezewa graphics unazohitaji kwa wakati:  ~• Poster, bango, vipeperushi, kalenda yenye picha zako, business card, lebo za bidhaa, nembo/logo, kava la kitabu, documentary, food menu, vyeti, company profile na video fupi fupi za matangazo ya biashara —kwa kuweka picha za biashara yako (short image-based advertisment video clip). 3. Darasa la kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone na kuwahudumia wahitaji waliopo WhatsApp. 4. Darasa la namna nyingine nzuri ya kuwafikia watu wapya 1,000 inbox, kila baada ya siku 14.  • Hii ni kwa wale wanaohitaji kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp ndani ya muda mfupi, i...

MAARIFA, UFAHAMU & HEKIMA.

Jambo kubwa linalotuzuia katika kuyafikia mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu [kwa wakati] ni ile hali ya kukosa maarifa fulani sahihi juu ya jambo husika. Ikiwa tayari tuna maarifa sahihi, basi kushindwa kwetu kunatokana na hali ya kukosa ufahamu (uwezo wa kuyaelewa maarifa hayo ipasavyo). Ikiwa tayari tuna maarifa na ufahamu , basi kushindwa kwetu kunatokana na hali ya kukosa hekima (uwezo wa kuyatumia kwa usahihi) ; katika mazingira sahihi, wakati sahihi na kwa watu sahihi. Lakini kuna namna MUNGU anaweza kutupatia maarifa, ufahamu na hekima . Kwa namna gani? Kwa kutupatia nafasi na mazingira yenye taarifa sahihi (maarifa) , kutupatia uwezo wa kuyaelewa (ufahamu) ,  vilevile uwezo wa kuyatumia maarifa hayo ipasavyo (hekima) . Asante. _____________________ MATANGAZO: -------------------- Karibu kwenye Maktaba Ndogo Ya Mtandaoni (vitabu (PDF), graphics, audio & video fupi fupi) mahali ambapo kwa sasa: 1. Unaweza kupata vitabu [softcopy]  (Tsh 1,500-2,500) vyenye maarifa ...

UNAONAJE KUHUSU MAMBO HAYA RAFIKI?

YALIYOMO: • Unaonaje Kama Ukipata Kitabu Kwa Tsh 1,500? [Angalia HAPA] • Unaonaje Kama Utatengeneza Na Kuuza Graphics—Kwa Smartphone? [Angalia HAPA] • Unaonaje Kama Utakuwa Unawafikia Watu 1,000 Inbox, Kila Baada Ya Siku 14 Kwa Njia Hii Mpya? [Angalia HAPA] • Unaonaje Kama Utaandika Na Kuuza Vitabu—Kwa Smartphone? [Angalia HAPA] • Unaonaje Kama Utaingiza Kipato Kwa Kuandika Kwa Ajili Ya Wengine—Mtandaoni? [Angalia HAPA] • Unaonaje Kama Utajifunza Ku-design Kalenda [kwa Smartphone] Na Kuziuza Kupitia Whatsapp? [Angalia HAPA] • Unaonaje Kama Tukikutengenezea Graphic Yoyote Unayohitaji Leo? [Angalia HAPA] __________ __________ PICHA ZILIZOAMBATANISHWA: ------------------------------------ UNAONAJE KAMA UKINIULIZA KUHUSU LOLOTE MIONGONI MWA HAYA YOTE; KWA KUJA MOJA KWA MOJA INBOX, WHATSAPP KUPITIA LINK HII? >>>>> https://wa.me/255738609426

Kitabu TSH 1,500 | Kalenda TSH 1,500 [OFA].

YALIYOPO KWENYE OFA HII. 1. Ofa ya kupata kitabu [PDF] kwa Tsh 1,500. 2. Ofa ya kutengenezewa kalenda [2021] yenye picha zako mbili unazotaka, na kuipata picha yake original—kwa whatsapp—kwa Tsh 1,500. 3. Matangazo mengine. _____________ _____________ 1. VITABU VILIVYOPO KWENYE PICHA HAPA CHINI, VINAVYOPATIKANA KWA BEI PUNGUZO YA TSH 1,500 TU. —Baada tu ya kufanya malipo, kitabu husika kinatumwa inbox kwako WhatsApp; vitabu vyote vipo katika fomati ya PDF. ______________ 2. KALENDA ZIKIZOONYESHWA HAPA CHINI, NI MIFANO (SAMPULI) KADHAA ZA KALENDA TUNAZOTENGENEZA KWA KUWEKA PICHA ZAKO MBILI UNAZOTAKA—KWA TSH 1,500. —Mara baada tu ya kutuma picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda, itatengenezwa na kutumwa leo leo inbox kwako WhatsApp; katika fomati ya picha yake origino. —utafanya malipo baada ya kuipokea inbox kwako. —Utai-print huko uliko popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha—kwenye ukubwa wowote). _________________ 3. MATANGAZO MENGINE.

Kitabu TSH 1,000 | Kalenda TSH 1,500 [OFA].

YALIYOPO KWENYE OFA HII. 1. Ofa ya kupata kitabu [PDF] kwa Tsh 1,000. 2. Ofa ya kutengenezewa kalenda [2021] yenye picha zako mbili unazotaka, na kuipata picha yake original—kwa whatsapp—kwa Tsh 1,500. 3. Matangazo mengine. _____________ _____________ 1. VITABU VILIVYOPO KWENYE PICHA HAPA CHINI, VINAVYOPATIKANA KWA BEI PUNGUZO YA TSH 1,000 TU. —Baada tu ya kufanya malipo, kitabu husika kinatumwa inbox kwako WhatsApp; vitabu vyote vipo katika fomati ya PDF. ______________ KALENDA ZIKIZOONYESHWA HAPA CHINI, NI MIFANO (SAMPULI) KADHAA YA KALENDA TUNAZOTENGENEZA KWA KUWEKA PICHA ZAKO MBILI UNAZOTAKA. —Mara baada tu ya kutuma picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda, itatengenezwa na kutumwa leo leo inbox WhatsApp; katika fomati ya picha yake origino. —utafanya malipo baada ya kuipokea inbox kwako. —Utai-print huko uliko popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha—kwenye ukubwa wowote).

MAKTABA YA MTANDAONI [Graphics, Books, Short Videos,....]

YALIYOPO HAPA KWENYE MAKTABA HII: 1.  Huduma za kukutengenezea graphics mbambali kulingana na hitaji lako. 2.  [Vitabu (PDF) na audio] maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi na kibiashara kupitia WhatsApp. 3.  Matangazo mengine. _________________________ UFAFANUZI UMETOLEWA KWA PICHA ZILIZOPO HAPA CHINI. ------------------------------------- 1. HUDUMA ZA KUKUTENGENEZEA GRAPHICS MBAMBALI KULIiNGANA NA HITAJI LAKO. Unaweza kuangalia baadhi ya mifano ya graphics  HAPA.  https://wa.me/255738609426 2. [VITABU (PDF) NA AUDIO] maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi na kibiashara kupitia WhatsApp. • Unaweza kuangalia ufafanuzi kuhusu programu namba moja [Darasa la graphics]  HAPA   - • Unaweza kuangalia ufafanuzi kuhusu programu namba mbili [Kuongeza Wateja Kupitia Whatsapp]  HAPA   https://wa.me/255738609426 ____________ Vitabu vingine vidogo katika fomati ya PDF. • Unaweza kuangalia ufafanuzi kuhusu kila kitabu  HAPA . ht...