Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2020

KUWAUZIA WATEJA WENGI—KUPITIA WHATSAPP.

Ili utangaze bidhaa na huduma zako sawasawa—kwa wateja wengi na wa uhakika waliopo wasapu. •~• Ukiwa hapa; wateja wako ni wengi na hawana kikomo. THE COMMON ONLINE MERCHANDISING HOME (COM-H). •~• Wafanyabishara kuwafikia watu wengi sana wanaopatikana kwa urahisi kupitia wasapu, ndani ya muda mfupi. Nakukaribisha sana rafiki, kwenye nyumba yetu ya mtandaoni; mahali utakapoweza kutangaza biashara au huduma yako kwa ufanisi mkubwa sana, na kujichotea wateja wako wengi na wa uhakika—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp. Kuna dokumenti yetu nzuri yenye maelekezo mazuri sana, tunayoweza kushea kwako bure; ikiwa unahitaji kufahamu zaidi kuhusu namna nyumba yetu ya mtandaoni [—The Common Online Merchandising Home (COM-H)] itakavyokunufaisha katika jambo hili. Dokumenti yetu ipo katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF) na unaweza kuipata kwa kupitia WhatsApp (—inbox) au kwa baruapepe (e-mail) yako. Ina kurasa chache na unaweza kuisoma vizuri ndani ya daki...

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...

KALENDA [2020 & 2021] YENYE PICHA ZAKO.

KALENDA [2020 & 2021] YENYE PICHA ZAKO. Kwa mara nyingine tena, ninakutengenezea kalenda nzuri mno; yenye maneno na picha unazotaka zionekane kwenye kalenda hiyo. Bei yetu kwa sasa imeshushwa na kufikia kiasi cha ofa ya shilingi elfu nne mia tano tu (Tsh 4,500). Utatuma tu picha zako unazotaka zionekane kwenye kalenda yako, kisha ndani ya dakika chache; kalenda yako itakuwa tayari. Mara baada tu ya kukamilika utatumiwa kwanza kwa wasapu, ili kuiangalia inavyokuwa kisha fomati nzuri ya PDF , kwa ajili ya kuitoa kwenye karatasi au picha kubwa—huko uliko, itatumwa. Karibu sana. Utaifurahia sana. Ina mwonekano mzuri mno. Popote ulipo jambo hili linawezekana. Wale walio karibu na Dodoma mjini na wale walio maeneo ya karibu na Sumbawanga mjini wanapata kalenda zao zikiwa zimetolewa moja kwa moja kwenye karatasi (printed). Kwa hawa wanaozipata zikiwa zimechapwa (printed) ni shilingi elfu saba tu (Tsh 7,000). Karibu sana. Ikiwa unahitaji kalenda ya namna hii njoo inbox ...

PROGRAMU RAHISI ZENYE MANUFAA MAKUBWA.

★★★★★★★★★★★★★★★ S imujanja (Smartphone) yako inaweza kutumika kuendesha mambo mengi mtandaoni. Yapo mambo mengi yenye faida kubwa. Ukiwa miongoni mwa watu wanaogundua ukweli huu, unaweza kunufaika vizuri sana kupitia Simujanja (Smartphone) yako.  Kwenye dokumenti yetu mojawapo: ' Mtaji Mwingine Ulionao Hivi Sasa —Kwa Mtaji wa Kifurushi Cha Intaneti na Muda wa Ziada', nilizungumzia kwa uzuri sana; mambo manne ambayo unaweza kunufaika nayo kwa kutumia simujanja (smartphone) yako. Nilieleza namna unavyoweza kutumia kifurushi chako cha intaneti na muda wako wa ziada kufanya mambo kadhaa, mambo ambayo watu wengi hawajayaangalia kwa utulivu ili kugundua manufaa yaliyomo ndani. Kwenye jukwaa letu: maktaba na shule zetu rahisi za mtandaoni, tunapenda kuwashirikisha watu, namna nzuri sana tunazojaliwa kugundua; jinsi ya kutumia simujanja (smartphone) kuendesha mambo mbalimbali mtandaoni—kwa namna inayofaa kukuingizia sehemu nzuri ya kipato cha ziada bila uhitaji wa maarifa tata...

TUFAHAMIANE ILI TUFANIKISHE MAMBO HAYA:

Ndugu yangu, naitwa EMMANUEL KIMANISHA. Ninapatikana Dodoma. Mara nyingine, kwa nyakati tofauti tofauti huwa ninakuwepo Mbeya au Rukwa pia. —Ninapenda sana kufahamiana na watu wengi mbalimbali, kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu]. —Na mara nyingine hata kuweza kushirikishana ufahamu, maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi. Naomba nikukaribishe pia ujitambulishe kwangu pia; kwa kuniambia unajihusisha na nini kiuchumi au kibiashara, pia hata upatikanaji wako [Njoo wasapu: 0743517138] ★★★★★★★★★★ Unayesoma na kuliangalia tangazo hili ni  kama ndugu, jamaa na rafiki wa jamii ya kifalme ninayoiheshimu. Karibu sana katika programu na huduma zinazotolewa kupitia intaneti—ukiwa popote ulipo. Umbali siyo kikwazo kwetu. 📚👨🏽‍💻📓, 1. Ninadizaini picha na matangazo ya matukio na ya biashara, logo za biashara na profile, business card n.k. Bei ni Tsh 3,500 - 25,000 (kutegemeana na aina). 2. Ninadizaini kale...

WATEJA WASIO NA KIKOMO—KUPITIA WASAPU

POSTI NYINGINE 1. Nyumbani (HOME)  [ ANGALIA ]. 2. Ofa ya kutengenezewa kalenda (2021) yenye picha na maandishi yako.  [ ANGALIA ]

TUMEFIKA HAPA KWA AJILI YAKO [ASANTE].

Napenda kutumia nafasi hii kukushukuru wewe unayepata programu zetu za maarifa na mambo mengine kadhaa yanayotolewa na EO Gadgets 77. Pia wewe ambaye umeona vyema tushirikiane na wewe, karibu sana. Naona sababu ya kukuheshimu kama ndugu, jamaa na rafiki wa jamii nzuri ya kifalme. Kabla hatujaendelea na mambo mengine mazuri zaidi, nikukaribishe kwenye maeneo ya programu zinazopendwa sana: Tufahamiane Ili TUFANIKISHE Mambo Haya [HAPA] Mtaji mwingine ulionao hivi sasa.   [HAPA] Programu rahisi zenye manufaa makubwa.   [ HAPA] Wateja wasio na kikomo—kupitia wasapu.   [HAPA] Manufaa ya kujifunza Graphics sasa.   [HAPA] Pata kalenda yako nzuri ya mwaka 2021 yenye picha zako na maandishi unayotaka yawepo. [HAPA]. Tsh 4,500 softcopy , Tsh 7,000 printed. POSTI NYINGINE 1. Nyumbani (HOME)  [ ANGALIA ]. 2. Ofa ya kutengenezewa kalenda (2021) yenye picha na maandishi yako.  [ ANGALIA ]

MTAJI MWINGINE ULIONAO HIVI SASA

—MTAJI MWINGINE ULIONAO HIVI SASA. KWA MTAJI WA KIFURUSHI CHA INTANETI NA MUDA WAKO WA ZIADA. Utakapomaliza kusoma posti hii fupi, naamini utakuwa umefahamu mambo manne, ambayo unaweza kuyafanya hata kwanzia leo na kuona manufaa yake vizuri kabisa. Utaongeza ufanisi wako katika kuitumia simujanja (smartphone) yako na muda wako mzuri wa ziada unapokuwa na kifurushi chako cha intaneti.  Utapata uwezo mzuri wa kuyafanikisha mambo haya mwenyewe na kuongeza sehemu nzuri ya kipato chako cha ziada; kwa kutumia simujanja yako, kifurushi chako cha intaneti na muda wako mzuri wa ziada. Mambo hayo ni: 1. Kuwatengenezea watu picha [Graphics] za matangazo ya biashara, makava ya vitabu, business cards, logo, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio mbalimbali, kalenda na nyinginezo —kwa kutumia smartphone yako; na kuziuza mtandaoni—kupitia wasapu. 2. Kukusanya na kutunza (save) namba nyingi za watumiaji wa Whatsapp; kisha kuziuza kwa watu wanaohitaji namba hizo kwa lengo lao la kuwaf...

MANUFAA YA KUJIFUNZA GRAPHICS SASA

★—★—★—GRAPHICS—MTANDAONI [katika fomati za  picha au PDF].  Rafiki yangu, sijajua kama unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangaza, picha za logo, makava ya vitabu, [na hizo nilizoziweka ukurasa wa mwisho wa posti hii] na nyingine nyingi, ambazo ni nzuri na rahisi ili kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni? kwa urahisi (kama softcopy). Hivi sasa wateja wengi wa graphics za namna hiyo, wanapatikana kwa urahisi sana kupitia wasapu. Unaamua mwenyewe unataka kuwafikia watu wa aina gani na wa nchi zipi. Idadi ya watu wanaoweza kuwafikia kupitia wasapu haina kikomo. ★—$—Kuna App moja nzuri na rahisi sana kuitumia kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa ya namna ya kuanza kutumia Adobe Photoshop n.k]. Ni App ambayo ukiipakua kwenye simujanja (Smartphone) yako, hususan zile zinazotumia mfumo wa Android ™ , utaweza kuitumia vizuri kabis...

SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX.

Rafiki, napenda kutumia nafasi hii tena kukukaribisha kwenye mambo manne mazuri: 1. Kutengenezewa  kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021  kwa bei nafuu sanà ( Tsh 3500 [bei ya ofa kwa sasa] ).  —Kalenda hii itakuwa na picha zako. —Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo. —Unanitumia picha zako kwa Whatsapp (au kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-hata kwa ujumbe wa kawaida. —Kalenda inakamilika ndani ya dakika chache sana. —Tunaituma kwako katika fomati ya PDF; Ili ionekane vizuri sana inapotolewa kwenye karatasi za glossy au picha. —Tumeweka bei ndogo ili kukupa nafasi ya kulipia kiasi kingine kidogo huko uliko; unapotaka kutoa kwenye karatasi. —•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••— 2. Ninashirikisha maarifa  rahisi  ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za  matangazo ya biashara,  kalenda  nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio  mbalimbali n....

BIASHARA NA HUDUMA NINAZOTOA—KWA INTANETI.

Rafiki, napenda kutumia nafasi hii tena kukukaribisha kwenye mambo manne mazuri: 1. Kutengenezewa  kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021  kwa bei nafuu sanà ( Tsh 3500 [bei ya ofa kwa sasa] ).  —Kalenda hii itakuwa na picha zako. —Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo. —Unanitumia picha zako kwa Whatsapp (au kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-hata kwa ujumbe wa kawaida. —Kalenda inakamilika ndani ya dakika chache sana. —Tunaituma kwako katika fomati ya PDF; Ili ionekane vizuri sana inapotolewa kwenye karatasi za glossy au picha. —Tumeweka bei ndogo ili kukupa nafasi ya kulipia kiasi kingine kidogo huko uliko; unapotaka kutoa kwenye karatasi. —•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••— 2. Ninashirikisha maarifa  rahisi  ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za  matangazo ya biashara,  kalenda  nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio  mbalimbali n....

SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX.

Rafiki, napenda kutumia nafasi hii tena kukukaribisha kwenye mambo manne mazuri: 1. Kutengenezewa  kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021  kwa bei nafuu sanà ( Tsh 3500 [bei ya ofa kwa sasa] ).  —Kalenda hii itakuwa na picha zako. —Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo. —Unanitumia picha zako kwa Whatsapp (au kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-hata kwa ujumbe wa kawaida. —Kalenda inakamilika ndani ya dakika chache sana. —Tunaituma kwako katika fomati ya PDF; Ili ionekane vizuri sana inapotolewa kwenye karatasi za glossy au picha. —Tumeweka bei ndogo ili kukupa nafasi ya kulipia kiasi kingine kidogo huko uliko; unapotaka kutoa kwenye karatasi. —•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••— 2. Ninashirikisha maarifa  rahisi  ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za  matangazo ya biashara, kalenda nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio  mbalimbali n.k—kwa kutum...

SABABU YA KUKUFUATA WEWE—INBOX.

Rafiki yangu, naamini kabisa kuwa; wewe ni mtu muhimu sana, ikiwa tutakuwa na mitazamo chanya. Mimi najua na kuamini kuwa katika biashara yangu yoyote nahitaji watu, tena watu ambao watafahamu vizuri uhalisia  wa namna nzuri na ya uhakika, vile wanavyoweza kufurahia huduma na bidhaa zangu; kwa furaha na amani. Katika biashara na huduma zako; naamini mimi ni mtu muhimu pia,  ni miongoni mwa watu ambao wakifahamiana na wewe ni rahisi kununua kwako au kuhudumiwa na wewe—kuliko mtu mwingine yeyote ambaye sina mahusiano mazuri naye. Naitwa  EMMANUEL Kimanisha.  Napatikana Dodoma, mara nyingine [kwa nyakati tofauti tofauti] ninapatikana pia Mbeya na Rukwa. Nimejisikia furaha na amani sana kukutana na wewe kwenye mawasiliano haya. Sababu hasa ya mimi kukufuata ni kwamba; —Mimi napenda sana kufahamiana na watu wengi [mbalimbali], kwa lengo la kushirikishana uwepo wa biashara na huduma za kila mmoja wetu [kwa utulivu].  —Na mara nyingine hata kuweza kushiriki...