Mambo yote katika maisha yako; ni matokeo ya mawazo yako, maneno yako na vile unavyoamini.
SIKU NJEMA YENYE FURAHA NA MAFANIKIO.
Mambo yote katika maisha yako; ni matokeo ya mawazo yako, maneno yako na vile unavyoamini.
Kila unalotenda limetokana na vile ulivyowaza. Kila unalolisema/kutamka pia limetokana na vile unavyowaza.
Jambo unaloliwaza na kulitafakari mara kwa mara ndilo na ndivyo utakavyoliamini. Vile unavyoamini, inaathiri vile utakavyohusiana na binadamu au watu wengine na maisha yako kwa ujumla.
Kwa hiyo, njia nzuri ya kubadilisha maisha yako kwanzia leo ni: kubadilisha aina za taarifa unazolisha moyo na ufahamu wako mara kwa mara. Ni mambo gani unayaangalia mara kwa mara, unayasikiliza mara kwa mara au kuyasoma mara kwa mara?
Ukianza hata leo, kubadilisha aina za taarifa kwa kuzingatia vigezo tajwa hapo juu; utabadilisha mawazo na tafakari zako za mara kwa mara. Jambo hili litabadilisha imani yako, na mwisho wa siku kubadilisha vile unavyohusiana na wengine na maisha yako kwa ujumla.
Asante sana.
Uwe na siku njema yenye furaha na mafanikio.
Mungu aliyekuumba na kuziumba mbingu na nchi akubariki.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••
MATANGAZO YETU:
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Marrifa Mengi Mazuri Mtandaoni. https://mamem3.blogspot.com/2020/09/maarifa-mengi-mazuri-mtandaoni.html
Kuanzia wateja 500 [kwa mwezi]; kila mteja bidhaa ya Tsh 2,000.
https://mamem3.blogspot.com/2020/09/wateja-500-kila-mteja-tsh-2000.html
Graphics kwa bei nafuu. https://eol777.blogspot.com/2020/06/graphics-nzurikwa-bei-ndogo-sana.html
Ubunifu rahisi wenye soko; wateja wake wanapatikana wasapu.
https://mamem3.blogspot.com/2020/09/ubunifu-rahisi-wenye-soko-wateja.html
Tengeneza kalenda nzuri [ya mwaka 2021]; yenye picha zako—na kuipata kama PDF na picha orijino ya ku-print popote. https://eol777.blogspot.com/2020/08/kalenda-nzuri-2021-yenye-picha-zako.html
Mahali rahisi kufika; ili kupata na kuweka link za vikundi mbalimbali vya whatsapp. https://eog77.blogspot.com/2020/09/mahali-pa-kupata-na-kutuma-link-za.html
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Comments
Post a Comment