Ndugu na rafiki yangu, habari yako!
Katika ofisi yangu ndogo ya mtandaoni, iliyopo whatsapp; hivi sasa [kwa kipindi hiki] ninatoa progamu moja ya maarifa na huduma moja ya kutengeneza kalenda kwa ofa kubwa.
Programu moja na huduma moja (mambo haya mawili) kwa kipindi hiki ni:
1. Maarifa rahisi ya ubunifu wa picha za matangazo ya biashara, matangazo ya matukio, business card (softcopy), kalenda, makava rahisi ya vitabu, n.k [zikiwa kama posters, flyers, book covers, simple logo, simple invitation cards n.k)—kwa kutumia smartphone.
2. Huduma ya kutengenezewa kalenda yako ya mwaka 2021; yenye picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo.
UFAFANUZI KWA UFUPI:
1. Maarifa rahisi ya ubunifu wa picha za matangazo ya biashara, matangazo ya matukio, business card (softcopy), kalenda, makava rahisi ya vitabu, n.k [zikiwa kama posters, flyers, book covers, simple logo, simple invitation cards n.k)—kwa kutumia smartphone.
Naelekeza namna ya kufanya ubunifu rahisi wa picha za GRAPHICS hizi kwa kutumia App rahisi iliyopo hivi sasa, na inayokusaidia kufanya 'Designing' hizo kwenye smartphone yako.
Ili kufahamu zaidi kuhusu mafunzo ya maarifa haya; jiunge kwenye kikundi chetu cha wasapu cha 'Ubunifu Rahisi wa Graphic' bure kwa link iliyopo HAPA chini:
https://chat.whatsapp.com/HYPLcftaMJKBXu52m8ntpy
••••—••••—••••—••••—••••—••••—••••—••••—
2. Huduma ya kutengenezewa kalenda yako ya mwaka 2021; itakuwa yenye picha zako unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo.
Bei ya sasa ni punguzo kwa ofa ya Tsh 2,300 badala
Kalenda yako utaipata katika fomati ya PDF na picha orijino (jpg original format)—kwa wasapu au e-mail. Hizo ni fomati ambazo unaweza kuzi-print popote wanapofanya hivyo [Stationery/ studio ya picha].
Ukihitaji kuangalia sampuli baadhi za kalenda, mojawapo ni hiyo hapo juu, pia unaweza kuziangalia vizuri sana kwa kuziomba inbox kwangu kwa kufungua kwa kugusa (click) HAPA au ingia kwenye kikundi chetu cha Whatsapp: '2021 Calendar Design Offer' kwa kugusa HAPA au link iliyopo hapa chini.
https://chat.whatsapp.com/FBBqBEpYm5i47ImRRlKJte
KARIBU SANA.
UBAO WA MATANGAZO YETU.
1. Matangazo yako kwenye blogu yetu [FUNGUA HAPA (Click)].
2. Furaha yangu kwa watumiaji wa Whatsapp [FUNGUA HAPA (Click)].
Comments
Post a Comment