Skip to main content

PROGRAMU ZA MAARIFA YENYE FAIDA KUBWA.

PROGRAMU ZA MAARIFA YENYE FAIDA KUBWA.



Leo nimeona ni vyema nikutambulishie programu zangu mbili ambazo nimezipa kipaumbele kwa kipindi hiki. Maarifa haya yatakupa uwezo wa kuanza kufanya mambo rahisi yenye faida kubwa mtandaoni.

Najua kuwa; kwa nyakati fulani tulipata shida kuanzisha biashara, jambo au kitu fulani mtandaoni. Hii ni kwa sababu tulijiuliza sana kuhusu namna nzuri ya kuwatambua na kuwapata wahitaji wa huduma au bidhaa zetu mtandaoni.

Mara nyingi tumekuwa tukijiona tunahitaji maarifa mengi ambayo ni tata kama vile: kupata tovuti (website) ambayo itaonekana kwa urahisi Google [kwa maarifa ya SEO (search engine optimization)], kuanzisha chaneli ya Youtube itakayokuwa na wafuasi wengi ndani ya muda mfupi, au kuanzisha huduma ambayo itawafikia wahitaji wengi ndani ya muda mfupi. Yapo mengi sana; hayo ni baadhi tu.

Furaha niliyonayo leo ni kukufungulia mlango mwingine utakaokupa nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu mwingine; ule ambao kuna wateja wako wengi wa uhakika na wasio na kikomo, pamoja na mbinu nzuri za kuwafikia, kuwatambua na kuwaelekeza mahali sahihi wanapohitaji kufika.  

Kwa mfano, hivi sasa hatutakiwi kuumiza kichwa sana kuhusu 'tutawapata wapi watu wa kuwaambia kuhusu bidhaa, huduma au majukwaa yetu mbalimbali ya mtandaoni kama vile Chaneli za Youtube na tovuti zenye mambo yenye tija?'. Hii ni kwa sababu wasapu inatupatia uwanja mpana wa kupata aina tofauti za watu tunaoweza kuwajulisha uwepo wetu; kulingana na huduma tunazotoa au bidhaa tunazoziuza.

Karibu sana.

YALIYOMO KWENYE POSTI HII YA LEO NI:
1. Programu mbili za maarifa yenye tija sana nilizozipa kipaumbele kwa sasa.

2. Orodha ya yaliyomo kwenye programu ya maarifa ya Graphics rahisi mtandaoni.

3. Orodha ya yaliyomo kwenye programu ya 'Kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja kupitia whatsapp'.

4. Faida za kujifunza programu ya GRAPHICS.

5. Faida za kujifunza programu ya 'Kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja kupitia whatsapp'.

6. Bei, njia na mfumo ninaotumia kushirikisha maarifa ya programu hizi.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

1. PROGRAMU MBILI ZA MAARIFA YENYE TIJA SANA NILIZOZIPA KIPAUMBELE KWA SASA.
Kwa sasa nimezipa kipaumbele programu mbili, ambazo ni:

1. Namna ya kutengeneza picha za Graphics kwa kutumia smartphone na kuziuza mtandaoni—kupitia Whatsapp [Angalia Picha ya Kava].
~~Ubunifu wa picha za GRAPHICS Kama vile: picha za matangazo ya biashara, matangazo ya matukio mbalimbali, business card, kalenda, makava rahisi ya vitabu n.k.

2. Namna nzuri iliyopo hivi sasa katika kuongeza uhakika wa upatikanaji wa wateja—kupitia wasapu. [Angalia picha ya Kava]
~~Kwa biashara yoyote uliyonayo na huduma yoyote unayoitoa—kivyovyote (online/offline).
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

2. ORODHA YA YALIYOMO KWENYE PROGRAMU YA MAARIFA YA GRAPHICS RAHISI MTANDAONI.

Yaliyomo Kwenye Kitabu [PDF] & Audio (mp3) Za Programu.
i). Njia na App rahisi kuitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.

ii). Jinsi ya kuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zako —Blogu ya kufungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika chache.


iii). Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.


iv). Unawezaje kuwahudumia watu walio mbali, wanaohitaji kutengenezewa Graphics—wakiwa kule waliko?

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

3. ORODHA YA YALIYOMO KWENYE PROGRAMU YA 'KUONGEZA UFANISI WA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP'.

Yaliyomo Kwenye Kitabu [PDF] & Audio (mp3) Za Programu.

i). Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.

ii). Njia nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa vikundi vya wasapu— ulivyomo na baadhi ya vile usivyokuwemo ndani yake.


iii). Utumiaji wa 'P2P Sales Prospecting' kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

4. FAIDA ZA KUJIFUNZA PROGRAMU YA GRAPHICS.

Faida Za Kujifunza Programu Ya GRAPHICS.
1. Utatengeneza [kwa wepesi sana] matangazo rahisi ya biashara, matangazo ya matukio, business card, kalenda, makava rahisi ya vitabu, logo za profile, web banners n.k—kwa kutumia smartphone.

2. Utawahudumia wahitaji wengi wa Graphics hizi kwa urahisi—kupitia wasapu—kwa kutumia smartphone yako.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

5. FAIDA ZA KUJIFUNZA PROGRAMU YA 'Kuongeza Ufanisi Wa Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp'.

1. Utaweza kusevu namba zote za washirika wote; katika vikundi vyote vya wasapu unavyojiunga na baadhi ya vile usivyokuwemo ndani yake—kwa njia rahisi.

2. Utaweza kutumia mbinu ya P2P sales prospecting—katika kujenga na kuandaa mkondo mzuri wa wateja wasio na kikomo—kupitia whatsapp.


Mbinu na maarifa haya ni kwa ajili ya biashara yoyote na huduma zozote unazotoa.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

6. Bei, Njia Na Mfumo Ninaotumia Kushirikisha Maarifa Ya Programu Hizi.

• Kwa Programu ya Graphics:
Tsh 3,500 badala ya Tsh 4,500 (kwa ofa ya kipindi hiki).
Unapata:
1. Audio za vipengele vyote [vinne].
2. Kitabu cha PDF kwa Whatsapp.
3. Link ya kui-download App inayofanya kazi hizi—kwenye smartphone.

4. Kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu; mahali unapoweza kuuliza swali lolote kuhusu programu hii.

—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—

• Kwa Programu ya Kuongeza Ufanisi Wa Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp:

Tsh 3,500 badala ya Tsh 5,500 (kwa ofa ya kipindi hiki).
Unapata:
1. Audio za vipengele vyote [vitatu].
2. Kitabu cha PDF kwa Whatsapp.
3. Namba 500 zilizoseviwa, zilizopo wasapu; kwa ajili ya kuanzia  programu kwa vitendo.
4. Kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu; mahali unapoweza kuuliza swali lolote kuhusu programu.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Karibu sana.

Kwa mawasiliano tumia namba ya simu (ipo wasapu pia): 0743517138.
Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••


MATANGAZO YETU: KWA AJILI YETU NA WATEJA WETU [GUSA KWA KUFUNGUA HAPA]



Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...