Skip to main content

KIPATO NA MALIPO MAZURI RAHISI—YASIYO NA UKOMO.

KIPATO NA MALIPO MAZURI YASIYO NA UKOMO YANAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA INTANETI; NDANI YA KITABU NA AUDIO ZA KITABU HIKI UTAGUNDUA MAMBO MENGI, AMBAYO YANAFAIDIWA NA WATU WACHACHE—KWA VIWANGO VINGINE.


YALIYOMO:
YALIYOMO:
1. Wateja wengi wasio na kikomo—wanakusubiri.

2. Nafasi ya kuanzisha jambo lenye faida halisi [Ukiwa kwenye hali yoyote kiuchumi]

3. Hakuna majira: wakati wote wowote kuna fursa ya kutengeneza kipato.

4. Machaguo mengi ya aina za bidhaa na huduma nzuri; unazoweza kutoa—kupitia intaneti.

5. Inawezekana kuanza na mojawapo kati ya haya mambo manne, siku ya leo!

KUMBUKA: Kitabu kitapatikana mtandaoni kuanzia tarehe 14/09/2020; katika fomati za PDF na audio kwa bei nzuri ya ofa ya kuzinduliwa Tsh 3,500 baada ya hapo bei yake ni Tsh 5,000. Wahi nakala yako siku ya kwanza, Jumatatu, uipate kwa bei punguzo.

—Watakaonunua siku hiyo watapata fursa ya kuunganishwa kwenye kikundi cha wasapu (PRIVATE ACTIVE INCOME—ONLINE) chenye mwendelezo wa mambo yaliyomo kwenye kitabu hiki—kwa muda wa wiki moja.

Ikiwa unahitaji kufahamu lolote kabla ya tarehe ya kuanza kukiuza kitabu; tumia mawasiliano yafuatayo:
0743517138_ call/ sms/ whatsapp.
0738609426_ call.
emmanuellibraries@gmail.com

Ili KUJIUNGA KWENYE KIKUNDI CHETU CHA WHATSAPP KWA AJILI YA UZINDUZI WA KITABU CHETU; INGIA HAPA CHINI KWA LINK HII:

https://chat.whatsapp.com/JP1F4i1LGffFrj0DfPg93c

Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...