Kati ya huduma ambazo zinazidi kuwa na wateja wengi zaidi kila kukicha ni utengenezaji wa picha za GRAPHICS kama vile: matangazo ya biashara, matangazo ya matukio mbalimbali, makava ya vitabu, business card, invitation cards, logo, kalenda, na nyingine nyingi za namna hiyo.
Huduma hii ni rahisi pia kuianzisha. Hii ni kwa sababu: unaweza kujifunza kwa urahisi mtandaoni na kujitangaza kwa watu wengi waliopo wasapu, kuwa unatengeneza Graphics hizo. Watu waliopo wasapu ni wengi sana vilevile wahitaji wa GRAPHICS hizo ni wengi pia. Jambo jema zaidi ni kwamba; wanaohitaji graphics hizi wanazihitaji katika fomati za kielektroniki [softcopy, PDF/PICHA] wakiwa kule waliko—zinatumwa kupitia whatsapp au baruapepe (e-mail).
Ninashauri kama mtu hana baishara au anayo na anataka kuongezea kitu cha kufanya kwa muda wake wa ziada, ni vyema kuanzisha jambo hili.
JE, unafahamu kuwa hivi sasa kuna App nzuri na rahisi kuitumia katika kutengeneza GRAPHICS kwenye smartphone yako?
Utaanza kutengeneza flyers, posters, business card, logo rahisi, Invitation card, kalenda na nyingine nyingi; ndani ya muda mfupi kuliko ulivyodhani—kwa kutumia smartphone yako tu.
Ukitaka kuwahudumia watu wengi waliopo wasapu; ni rahisi pia. Utawatengenezea Graphics hizo na kuwapa katika fomati za picha na PDF halafu wao wanakulipa kwa M-pesa, T-Pesa, Halopesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k wakiwa kule waliko.
Leo ninakupa kitabu changu chenye maelekezo yote kwa msaada wa picha na maelezo rahisi sana na audio zake [audio nne za vipengele vyote vinne], bila kusahau link ya kuipakua App hiyo leo leo; moja kwa moja playstore kwenye smartphone yako—na kuanza kuitumia leo leo.
Leo ni ofa inayodumu ndani ya siku chache tu. Utapata kitabu hicho [cha PDF kwa wasapu] na audio zake (mp3) bila kusahau link ya App hiyo; kwa Tsh 3,500 tu badala ya
KUPATA KITABU, AUDIO NA APP HIYO WASILIANA NAMI KWA NAMBA: 0743517138 IPO WASAPU PIA [HAPA].
KARIBU SANA.
•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Ad: Maarifa Mengi Mazuri Mtandaoni; Mtandaoni ni mahali penye fursa unazoweza kufaidi, ukiwa katika hali yoyote kiuchumi.
•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Comments
Post a Comment