Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2020

FURAHA YAKO—POPOTE ULIPO.

Hii ni kwa ajili yako. Utafurahia sana maamuzi yako. Tupo kwa ajili yako. Upendo, furaha na amani katika kuhudumia. Tunajisikia vizuri sana kufanya hivyo. Jisikie huru na uwe na amani. Tunashiriki furaha yako kwa kukusaidia katika mambo yafuatayo: 1. Kukutengenezea graphics nzuri kwa bei ndogo [HAPA{✓}]. 2. Kukuandikia kazi zako za maandishi vizuri —kwa haraka [HAPA{✓}]. 3. Kukuelekeza namna ya ku-dizaini picha za graphics kwa App nzuri sana — kwenye Smartphone [HAPA{✓}]. 4. Kukuelekeza namna ya kufungua blogu ndogo na rahisi ya gredi ya bure, kwa kutumia Smartphone [HAPA{✓}]. 5. Kukuelekeza namna nzuri ya kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja wako wengi —miongoni mwa mamilioni ya watu wengi wanaotumia WhatsApp [HAPA{✓}]. Naomba uniambie jambo unalohitaji kupata ufafanuzi wake zaidi kwa namba 0743517138 [ipo pia WhatsApp]. Au Ikiwa unatumia WhatsApp wakati huu, GUSA KWA KUFUNGUA [HAPA]. Emmanuel Online Gadgets 77. EO Gadgets 77. ©2020. ☏...

TENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.

 PICHA ZA GRAPHICS—KUZITENGENEZA MWENYEWE NA KUZIUZA MTANDAONI.  —★—$—Namna nilivyoanza na ninavyouza Graphics zangu rahisi mtandaoni. Yaliyomo (vipengele) kwenye maelekezo ya jambo hili ni: Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.  Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu. Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako. Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko? Maelekezo yake yote yapo  kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp  (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni   [Emmanuel Online School and Library]. Bei yake ni shilingi elfu nne mia tano tu (Tsh 4500/-) kwa sasa.   —$——0657178911 Emmanuel Ki...

KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI.

KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI. CODE: Selling Your Documents (PDF) Online (SYDO 77). YALIYOMO: Urahisi uliopo hivi sasa —katika kuuza maandishi/vitabu vyako mtandaoni. Njia rahisi ya kuandika dokumenti au vitabu vyako kwa haraka—Kwa simujanja (Smartphone) yako tu. Kwa nini ni vyema pia uuzie mtandaoni? Blogu nzuri na rahisi ya kuanza nayo—katika kuuza dokumenti au vitabu vyako. Mbinu nzuri na rahisi ya kuwatambua, kuwafikia na kufaidi wateja wengi wa maandishi/vitabu vyako—mtandaoni. ★—$—The Simplest Way To Start Selling Your Documents (PDF)—Online. Maelekezo yake yote yapo  kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye makundi yetu ya Whatsapp  (mahali unapoweza kuuliza maswali yako) na posti za blogu na shule yetu ya mtandaoni   [Emmanuel Online School and Library]. Bei yake ni shilingi elfu mbili mia tano tu (Tsh 5000/-) kwa sasa.   —$——0657178911 Emmanuel Kimanisha. Niulize jambo lolote unalohitaji kuelewa vizuri juu ya...

FURAHIA SANA—POPOTE ULIPO.

Umbali siyo kizuizi kwetu. Popote ulipo unaweza kufurahia uwepo wetu kwa namna tunayoweza kukuhudumia. Kwa kila jambo unaloweza kufurahia kwa uwepo wetu mtandaoni; fungua eneo lolote hapo chini, kwa lile ambalo unatamani kufurahia vizuri zaidi. Furahia Ku-dizaini picha hizi za GRAPHICS mwenyewe (—kwa App kwenye Smartphone) na hata kuziuza mtandaoni. >>>> HAPA . Furahia soko zuri la uhakika—mtandaoni. >>>> HAPA Furahia Wateja Wako Wengi Waliopo Whatsapp. >>>> HAPA Furahia kusaidiwa kuandika kwa haraka. >>>> HAPA Furahia kupata Graphics nzuri—kwa bei ndogo . >>>> HAPA Furahia kusevu namba nyingi za mamilioni ya watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka. >>>> HAPA Furahia kufahamu kuhusu mwandishi Emmanuel K.  >>>> HAPA Furahia kumiliki shule yako rahisi—mtandaoni. >>>> HAPA Furahia kuuza maandishi yako mtandaoni >>>> HAPA ★—••• Jisikie huru, uamuzi mzur...

SOKO ZURI LA UHAKIKA LILILOPO—MTANDAONI.

Kuna mbinu nne ambazo tumeziambatanisha na mambo manne yanayoweza kukusababishia kuwa na eneo lako binafsi na lenye wateja wengi wasio na idadi—kwenye mtandao wa intaneti.   LA KWANZA.   WATEJA WAKO WENGI WALIOPO WHATSAPP (5W≈ W^5). —$—Mbinu na njia nzuri za kufaidi wateja wengi miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp—Inchini kwako, Barani kwako na Duniani kote. YALIYOMO: Sababu zinazoonyesha unaweza kuweka mkakati wa kukuletea uhakika wa wateja wengi—kila siku. Njia tatu rahisi na za haraka katika kukusanya na kusevu namba nyingi za watumiaji wa Whatsapp. Namna nzuri [ya kukushangaza] ya kunufaika na namba nyingi za Whatsapp utakazokuwa unazisevu—kwa namna rahisi tuliyoelekeza. Mlango mwingine unaofunguka; baada ya kukamilisha yaliyo katika vipengele vilivyopita. Mambo mazuri ya kuanza nayo; kwa wale wasio na biashara ya kuwaletea wateja wa uhakika—kupitia Whatsapp. Maelekezo yake yote yapo kwa audio, kitabu kidogo cha PDF na maelek...

SHULE YAKO NDOGO NA RAHISI YA MTANDAONI.

Sasa unaweza kushirikisha maarifa ya mawazo yako yenye tija au maarifa ya uzoefu wako mzuri—kwa njia ya intaneti, kwa namna itakayokulipa vizuri sana. Unaelekezwa vizuri, namna nzuri ya kufungua blogu yako ya gredi ya bure mwenyewe, kwa kutumia smartphone yako —kwenye jukwaa la mtandaoni la Blogspot. ★—$—Pia naelekeza namna rahisi sana ya kuanza kuitumia blogu hiyo ndogo [ya gredi ya bure] kama shule yako au duka lako rahisi la mtandaoni— katika kuanza kuuza dokumenti zako, audio na video—mtandaoni. YALIYOMO: Hatua chache za muhimu katika kufungua blogu ndogo na rahisi—kwa kupitia majukwaa maalumu ya mtandaoni. Hatua chache za muhimu katika kuifanya blogu yako iwe shule ya mtandaoni. Namna nzuri ya kushirikisha mafunzo yaliyolipiwa na wanafunzi wako–kwenye blogu yako ya bure. Unapata wapi wateja au wanafunzi wako? ★—$—The Free Blog As An Online School & Library. ★—$—Using your free blog as an online school. Maelekezo yake yote yapo  kwa audio, k...

KUSEVU NAMBA NYINGI ZA WHATSAPP—WATEJA WAKO NI WENGI SANA.

Miongoni mwa Mamilioni ya watu wanaotumia Whatsapp—nchini kwako, barani kwako na duniani kote, kuna wateja wako wa uhakika. EO Gadgets 77 Tunakusaidia kusevu namba zote za washirika wote wa makundi yote ya Whatsapp uliyopo na yale utakayojiunga—kwa haraka sana na kukutumia inbox kwako zikiwa tayari. Vilevile tunakuelekeza namna ya kufaidi upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika—kupitia namba hizo za WhatsApp. Si hivyo tu bali pia ukitaka, tunakuelekeza namna nzuri na rahisi ya wewe mwenyewe kusevu namba nyingi za watu wanaotumia WhatsApp— kwa haraka (kwa kutumia smartphone yako).  Kwa msaada wa audio na dokumenti fupi fupi na kuunganishwa kwenye kundi letu la WhatsApp, unaelekezwa namna nzuri ya kuzitumia namba hizo [ mbinu ya P2P Sales Prospecting ]— kuwatambua na kuwapata wateja wako wa leo na kuwaandaa wateja wengine wengi sana wa siku zijazo, miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia Whatsapp [Nchini kwako, Barani kwako na hata Duniani kote]. UKITAKA KUE...

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

TUNAKUSAIDIA KUANDIKA KWA HARAKA—KWA BEI NDOGO

EMMANUEL ONLINE TYPING AND TRANSCRIPTION GADGET 7 (EOTTG 7). Tunakusaidia kuandika kwa haraka (Transcriptional Typing), kazi mbalimbali (dokuments) na kukupatia huko huko uliko—ikiwa kwenye fomati ya kielektroniki (Softcopy, PDF/word). —★—Bei ni Tsh 350/ukurasa. Kazi yako inatumwa haraka kwa Whatsapp au baruapepe (email) yako. ★—~• Wewe unatuma tu picha za kurasa ulizoandika kwa mkono, picha ya karatasi ya zamani unayotaka iwe softcopy (Word au PDF) au audio unayotaka maneno yake yawekwe kwenye maandishi. Ikiwa unahitaji kusaidiwa kuandika kazi yako haraka wakati huu; nitaarifu kwa namba ya simu:  0743517138. Au kama unatumia WhatsApp wakati huu, nitaarifu kwa kuja inbox kwangu moja kwa moja kwa  KUFUNGUA HAPA. POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI. Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu   [CLICK get us online] Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà   [CLICK, get us online] Upatikanaji wa Graphics zako nzuri—kwa bei rahisi [...

KUHUSU MWANDISHI—EMMANUEL KIMANISHA

Emmanuel Kimanisha ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma katika shahada ya kwanza ya ualimu wa sayansi. Yuko mwaka wake wa tatu katika chuo hicho lakini ni mtu mwenye shauku kubwa sana na anayependa kutafuta maarifa ya mambo na vitu mbalimbali ambavyo hutumia muda wake wa ziada kuvifuatilia na kuvifanyia majaribio ya vitendo. Katika kufanya hivyo, anayo shauku kubwa ya kuwa na uwanja mpana zaidi wa kujifunza na kufundisha kwa undani ili kushirikishana maarifa, taarifa na ufahamu wa mambo yote yanayowezekana kueleweka na kufundishika kwake. Miongoni mwa mambo ambayo huyafuatilia kwa muda wake wa ziada ni pamoja na maarifa ya mambo yanayohusu namna ya kutumia fursa mbalimbali zilizopo katika teknolojia ya habari na mawasiliano—intaneti na mengine mengi yanayohusu nadharia za Electronics na Robotics. Kuna vitabu vyake miongoni mwa vitabu vingine vidogo vidogo ambavyo ameviandika na kuwashirikisha watu mbalimbali, kwa yale ambayo ameyafuatilia na kuyafanyia majaribio ya vitendo. V...