★—★—★—GRAPHICS—MTANDAONI [katika fomati za picha au PDF]. Rafiki yangu, sijajua kama unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangaza, picha za logo, makava ya vitabu, [na hizo nilizoziweka ukurasa wa mwisho wa posti hii] na nyingine nyingi, ambazo ni nzuri na rahisi ili kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni? kwa urahisi (kama softcopy). Hivi sasa wateja wengi wa graphics za namna hiyo, wanapatikana kwa urahisi sana kupitia wasapu. Unaamua mwenyewe unataka kuwafikia watu wa aina gani na wa nchi zipi. Idadi ya watu wanaoweza kuwafikia kupitia wasapu haina kikomo. ★—$—Kuna App moja nzuri na rahisi sana kuitumia kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa ya namna ya kuanza kutumia Adobe Photoshop n.k]. Ni App ambayo ukiipakua kwenye simujanja (Smartphone) yako, hususan zile zinazotumia mfumo wa Android ™ , u...
—working with and on graphics, PDFs, audios and videos.