Skip to main content

Posts

Showing posts from 2021

KALENDA MPYA ZA MWAKA 2022—WEKA PICHA ZAKO.

------------- ----------------

JINSI YA KUUZA VIZURI KUPITIA WHATSAPP.

Whatsapp ina watumiaji wengi sana:  • zaidi ya bilioni 2 duniani.  • zaidi ya milioni 500 barani Afrika.  • zaidi ya milioni 10 nchini Tanzania. Miongoni mwao, kuna wateja wako wa uhakika! Asilimia kubwa ya watu hawa tunaweza kuwa nao kwenye vikundi mbalimbali vya WhatsApp (WhatsApp Groups). Mwaka 2019, niligundua njia nzuri mpya, ya kuhifadhi save namba nyingi za WhatsApp kwa urahisi na haraka. Kwa njia hii; unaweza kuongeza namba 200 hadi 300 kwa siku —bila kuathiri utendaji wako wa mambo mengine. Tumeweka maarifa haya, kwenye kitabu kinachouzwa TSH 4,500 (softcopy—PDF). UKILIPIA KINATUMWA INBOX KWAKO WHATSAPP/E-MAIL. Mambo Makuu Manne (4), Utakayoweza Kunufaika Nayo, Katika Kitabu Hiki: 1. Njia rahisi mpya ya kutunza (save) namba nyingi za WhatsApp kwa haraka. 2. Njia nzuri ya utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—kwa urahisi. 3. Njia rahisi ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako za biashara—ndani ya muda mfupi. ...

ZAIDI YA TSH 250,000 KWA MWEZI.

Usihangaike! Pesa Halisi Ya Mtandaoni [Kwa Watumiaji Wa WhatsApp] Inapatikana Kwa Kuwahudumia Wateja Wengi Waliopo WhatsApp. Vitabu vitatu ndani ya kitabu kimoja [Fomati: PDF]. Unapotengeneza pesa kwa kugusa mahitaji ya watu wengi, unaoweza kuwafikia ukiwa mahali ulipo, ni hakika kuwa pesa yako ni halisi.  Tunapokuwa kwenye muingiliano mkubwa wa watu, tuna nafasi kubwa nzuri ya kuwa na vitu tofauti tofauti vya kufanya, kwa ajili ya watu hao, na tukatengeneza pesa nzuri. Kuna huduma na biashara ambazo hazihitaji ulazima wa kukutana ana kwa ana, kati ya mteja na mtoa huduma au muuzaji; yaaani kuna bidhaa pia ambazo wateja huzipokea katika fomati za kielektroniki (softcopy), na kuzitumia kule waliko.  Kwa mfano, bidhaa kama audio, video, picha za matangazo au graphics, vitabu [katika fomati za PDF] na software nyingine; ni bidhaa ambazo unaweza kuzitengeneza na kuwauzia watu mtandaoni, bila kukutana nao ana kwa ana. Huduma na biashara zinazohusisha bidhaa (products) za aina hiyo,...

TUNAKUTENGENEZEA KALENDA YENYE PICHA ZAKO— Wakazi Wa Sumbawanga Mjini.

Habari nzuri [ya ubunifu] kwa wakazi wa SUMBAWANGA MJINI, na maeneo ya karibu. EO LIBRARY, tunatengeneza kalenda za mwaka 2022; zenye picha zako unazotaka. Ukiwa Sumbawanga mjini, utaipata kalenda yako ikiwa imechapishwa kwenye picha kubwa. Tuma tu picha zako kwa WhatsApp au e-mail, na uipate kalenda yako leo leo—hapa mjini. BEI: TSH 5,000 (A3). TSH 3,000 (A4). Sampo za kalenda zetu zipo hapa chini. ------------------------- Walio nje ya Sumbawanga mjini au mbali, mikoa na maeneo mengine; wanazipata kalenda zao leo katika fomati za PDF na picha (softcopy)—kupitia WhatsApp na e-mail— kwa TSH 2,500/-. Watazitumia hizo watakazotumiwa kwa WhatsApp na e-mail, wakati wa ku-print, kule kule waliko; mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha). Emmanuel Online Library (EOL 77) 0743 517 138. 0717 517 137

SMARTPHONE & WHATSAPP—Katika Kuanzisha Au Kuendesha Biashara.

• Smartphone, WhatsApp, Biashara & Uchumi. Vitabu hivi vinapatikana kupitia WhatsApp na e-mail; vipo katika fomati ya PDF (softcopy). Unapolipia, vinatumwa inbox kwako—baada tu ya SMS yako ya malipo kuonekana. Hapa chini ni picha za utangulizi kwa ufupi, kuhusu kila kitabu. Kuhusu kitabu cha kwanza. Kuhusu kitabu cha pili. Ikiwa unahitaji kununua kitabu chochote, au vyote, leo njoo inbox kwetu WhatsApp kwa kuingia HAPA [WHATSAPP INBOX DOOR]. Hizo ni bei za ofa ya muda mfupi: kila kitabu TSH 2,500 (PDF—softcopy). 0743 517 138 — EMMANUEL KIMANISHA.

Jinsi Tunavyoweza Kujiajiri Wenyewe— Kwa Smartphone Na Whatsapp.

• Uchumi, Biashara, Smartphone Na WhatsApp. Miongoni mwa vitabu na programu zetu za kushirikisha maarifa, ya namna nzuri tofauti tofauti za kunufaika kiuchumi na kibiashara mtandaoni; Emmanuel Online Library (EOL 77) tuna vitabu vyenye maarifa ya kujiajiri mwenyewe—kwa kutumia smartphone na Whatsapp. Hii ni kwa sababu, tumegundua kuna biashara na huduma nyingi ambazo tunaweza kuanzisha na kuzitoa mtandaoni. Ni mambo ambayo hayahitaji ulazima wa kukutana ana kwa ana kati ya mteja na mtoa huduma.  Vitabu hivi pia, kwa mfano kitabu namba mbili [TSH 2,500]; kina maarifa ya msaada mkubwa sana kwa watu ambao tayari wanazo biashara, na wanatamani kupata njia mpya ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp—kwenye biashara au huduma zozote—ambazo wateja wake wengine hutafutwa kwa WhatsApp. Kwa wale ambao hawana biashara yoyote, inayowaingizia kipato mtandaoni; kitabu namba moja [TSH 1,500], kina maarifa ya namna nyingine nzuri, ya kutumia smartphone yako kuwahudumia wateja (watu w...

UNAHITAJI NINI LEO—KUPITIA INTANETI? Bidhaa, huduma, maarifa, programu...

Emmanuel Online Library (EOL 77) , kwa nyakati hizi, tunapenda kushirikiana na wengine mtandaoni katika kufanikisha mambo (6) yafuatayo: 1.   Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp. 2.   Tuna [kitabu] maarifa ya jinsi tunavyoweza kujiajiri wenyewe kwa smartphone na whatsapp. 3.   Tuna [kitabu] maarifa ya namna ya kufanya ubunifu wa graphics [designing] kwa smartphone. 4.  Tunakutengenezea graphic unayohitaji leo. 5.   Tunakutengenezea video fupi fupi za matangazo kwa kutumia picha za kawaida (mnato)—na kuziweka pia YouTube. 6.   Tunakutengenezea kalenda yenye picha zako—na unaipata leo kwa WhatsApp. --------------------- Rafiki, napenda kufahamu; kwa wakati huu unapenda tufanikishe lipi? • Tuambie au uliza kuhusu lolote, kwa mawasiliano haya: 0743 517 138. 0717 517 137. ----------------------------------------------- Hapa chini kuna picha na video fupi fupi [YouTube] za ufafanuzi, kuhusu kila kipengele kilichotajwa hapo juu. [Play Video]. [Play Vid...