Emmanuel Online Library (EOL 77), kwa nyakati hizi, tunapenda kushirikiana na wengine mtandaoni katika kufanikisha mambo (6) yafuatayo:
1. Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
2. Tuna [kitabu] maarifa ya jinsi tunavyoweza kujiajiri wenyewe kwa smartphone na whatsapp.
3. Tuna [kitabu] maarifa ya namna ya kufanya ubunifu wa graphics [designing] kwa smartphone.
4. Tunakutengenezea graphic unayohitaji leo.
5. Tunakutengenezea video fupi fupi za matangazo kwa kutumia picha za kawaida (mnato)—na kuziweka pia YouTube.
6. Tunakutengenezea kalenda yenye picha zako—na unaipata leo kwa WhatsApp.
---------------------
Rafiki, napenda kufahamu; kwa wakati huu unapenda tufanikishe lipi?
• Tuambie au uliza kuhusu lolote, kwa mawasiliano haya:
0743 517 138.
0717 517 137.
-----------------------------------------------
Hapa chini kuna picha na video fupi fupi [YouTube] za ufafanuzi, kuhusu kila kipengele kilichotajwa hapo juu.
----★----★----★----
PICHA ZA UFAFANUZI KWA UFUPI.
1. Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
Kitabu hiki kinapatikana kwa kutumiwa inbox kwako WhatsApp kwa TSH 4,500 (PDF)
3. [kitabu] maarifa ya namna ya kufanya ubunifu wa graphics [designing] kwa smartphone.
Kitabu hiki kinapatikana katika fomati ya PDF kupitia WhatsApp au e-mail—kwa TSH 3,000 (PDF).
BEI ZETU: TSH 2,500-50,000.
BEI: TSH 15000/ 60 secs.
6. Kalenda yenye picha zako— ya mwaka 2022 kwa TSH 2,500, na unaipata leo kwa WhatsApp—katika fomati ya picha yake orijino unayoweza ku-print huko.
Enter your comment...be blessed brethren
ReplyDeleteAmen amen.
DeleteNice Work ,God bless you
ReplyDelete