• Uchumi, Biashara, Smartphone Na WhatsApp.
Miongoni mwa vitabu na programu zetu za kushirikisha maarifa, ya namna nzuri tofauti tofauti za kunufaika kiuchumi na kibiashara mtandaoni; Emmanuel Online Library (EOL 77) tuna vitabu vyenye maarifa ya kujiajiri mwenyewe—kwa kutumia smartphone na Whatsapp.
Hii ni kwa sababu, tumegundua kuna biashara na huduma nyingi ambazo tunaweza kuanzisha na kuzitoa mtandaoni. Ni mambo ambayo hayahitaji ulazima wa kukutana ana kwa ana kati ya mteja na mtoa huduma.
Vitabu hivi pia, kwa mfano kitabu namba mbili [TSH 2,500]; kina maarifa ya msaada mkubwa sana kwa watu ambao tayari wanazo biashara, na wanatamani kupata njia mpya ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp—kwenye biashara au huduma zozote—ambazo wateja wake wengine hutafutwa kwa WhatsApp.
Kwa wale ambao hawana biashara yoyote, inayowaingizia kipato mtandaoni; kitabu namba moja [TSH 1,500], kina maarifa ya namna nyingine nzuri, ya kutumia smartphone yako kuwahudumia wateja (watu wengi) waliopo WhatsApp—katika huduma ambazo hazihushi ulazima wa kukutana ana kwa ana, kati ya mteja na mtoa huduma.
Kitabu namba tatu [TSH 3,000], kina maarifa ya namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone—zinazohitajika na watu waliopo WhatsApp. Graphics ambazo utaweza kutengeneza ni posters, kalenda yenye picha na mpangilio unaotaka, business card, logo/nembo rahisi, makava ya vitabu, vipeperushi, lebo za bidhaa na mabango ya biashara na nyingine nyingi [kwa kadiri utakavyoendelea kuboresha uwezo wa ubunifu huu]. Utapewa link ya App inayofaa kutumika kwenye smartphone yako kwa ajili ya designing hizi, utakapolipia kitabu hiki.
NB: Vitabu vyote hivi, vipo katika fomati ya PDF (softcopy). Yaani unavisoma kwenye smartphone au kompyuta yako. Ukishalipia kitabu husika, kinatumwa inbox kwako WhatsApp au kwa e-mail—wakati huo huo.
Karibu sana!
0743 517 138.
0717 517 137.
emmanuellibraries@gmail.com
Comments
Post a Comment