Emmanuel Online Library (EOL 77), kwa nyakati hizi, tunapenda kushirikiana na wengine mtandaoni katika kufanikisha mambo (6) yafuatayo:
1. Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
2. Tuna [kitabu] maarifa ya jinsi tunavyoweza kujiajiri wenyewe kwa smartphone na whatsapp.
3. Tuna [kitabu] maarifa ya namna ya kufanya ubunifu wa graphics [designing] kwa smartphone.
4. Tunakutengenezea graphic unayohitaji leo.
5. Tunakutengenezea video fupi fupi za matangazo kwa kutumia picha za kawaida (mnato)—na kuziweka pia YouTube.
6. Tunakutengenezea kalenda yenye picha zako—na unaipata leo kwa WhatsApp.
Rafiki, napenda kufahamu; kwa wakati huu unapenda tufanikishe lipi?
• Tuambie au uliza kuhusu lolote, kwa mawasiliano haya:
0743 517 138.
0717 517 137.
-----------------------------------------------
Hapa chini kuna picha na video fupi fupi [YouTube] za ufafanuzi, kuhusu kila kipengele kilichotajwa hapo juu.
1. Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
• Kuangalia video ya jambo hili YouTube—fungua hapa [Play Video].
2. [kitabu] maarifa ya jinsi tunavyoweza kujiajiri wenyewe kwa smartphone na whatsapp.
• Kuangalia video ya jambo hili YouTube—fungua hapa [Play Video].
3. [kitabu] maarifa ya namna ya kufanya ubunifu wa graphics [designing] kwa smartphone.
• Kuangalia video ya jambo hili YouTube—fungua hapa [Play Video].
4. Graphics tunazotengeneza kulingana na hitaji lako leo.
• Kuangalia video ya jambo hili YouTube—fungua hapa [Play Video].
5. Video fupi fupi za matangazo tunazotengeneza kwa kutumia picha za kawaida (mnato)—na kuziweka pia YouTube.
• Kuangalia video ya jambo hili YouTube—fungua hapa [Play Video].
6. Kalenda yenye picha zako—na unaipata leo kwa WhatsApp
• Kuangalia video ya jambo hili YouTube—fungua hapa [Play Video].
____________________________
-----------------------------------------________________________Emmanuel Online Library (EOL 77).+255 743 517 138emmanuellibraries@gmail.comDodoma, Tanzania.----------------------------------------
Comments
Post a Comment