Emmanuel Online Library (EOL 77), kama ilivyo kawaida yetu, katika suala la ubunifu wa kalenda; tumeshaanza kutengeneza kalenda za mwaka 2022 kwa TSH 3,500.
Utaipata kalenda yako leo, kupitia WhatsApp au e-mail ikiwa katika fomati ya PDF na picha yake orijino—ili uweze kui-print huko uliko popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery/studio ya picha).
Tuma picha zako sasa—kwa WhatsApp au e-mail [unazotaka zionekane kwenye kalenda hiyo]. Baada ya dakika chache, kalenda yako itakuwa tayari na itatumwa inbox kwako—kisha utafanya malipo.
Mawasiliano:
0743 517 138
0717 517 137
emmanuellibraries@gmail.com
___________________
HAPA CHINI KUNA [SAMPULI] MIFANO MINNE YA KALENDA:
KARIBU SANA RAFIKI!
Comments
Post a Comment