Habari nzuri [ya ubunifu] kwa wakazi wa SUMBAWANGA MJINI, na maeneo ya karibu.
EO LIBRARY, tunatengeneza kalenda za mwaka 2022; zenye picha zako unazotaka.
Ukiwa Sumbawanga mjini, utaipata kalenda yako ikiwa imechapishwa kwenye picha kubwa.
Tuma tu picha zako kwa WhatsApp au e-mail, na uipate kalenda yako leo leo—hapa mjini.
BEI:
TSH 5,000 (A3).
TSH 3,000 (A4).
Sampo za kalenda zetu zipo hapa chini.
Walio nje ya Sumbawanga mjini au mbali, mikoa na maeneo mengine; wanazipata kalenda zao leo katika fomati za PDF na picha (softcopy)—kupitia WhatsApp na e-mail—kwa TSH 2,500/-.
Watazitumia hizo watakazotumiwa kwa WhatsApp na e-mail, wakati wa ku-print, kule kule waliko; mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha).
Emmanuel Online Library (EOL 77)
0743 517 138.
0717 517 137
Comments
Post a Comment