Usihangaike! Pesa Halisi Ya Mtandaoni [Kwa Watumiaji Wa WhatsApp] Inapatikana Kwa Kuwahudumia Wateja Wengi Waliopo WhatsApp.
Vitabu vitatu ndani ya kitabu kimoja [Fomati: PDF].
Unapotengeneza pesa kwa kugusa mahitaji ya watu wengi, unaoweza kuwafikia ukiwa mahali ulipo, ni hakika kuwa pesa yako ni halisi.
Tunapokuwa kwenye muingiliano mkubwa wa watu, tuna nafasi kubwa nzuri ya kuwa na vitu tofauti tofauti vya kufanya, kwa ajili ya watu hao, na tukatengeneza pesa nzuri.
Kuna huduma na biashara ambazo hazihitaji ulazima wa kukutana ana kwa ana, kati ya mteja na mtoa huduma au muuzaji; yaaani kuna bidhaa pia ambazo wateja huzipokea katika fomati za kielektroniki (softcopy), na kuzitumia kule waliko.
Kwa mfano, bidhaa kama audio, video, picha za matangazo au graphics, vitabu [katika fomati za PDF] na software nyingine; ni bidhaa ambazo unaweza kuzitengeneza na kuwauzia watu mtandaoni, bila kukutana nao ana kwa ana.
Huduma na biashara zinazohusisha bidhaa (products) za aina hiyo, ndizo zilizozungumziwa kwenye vitabu vyetu vitatu.
Ofisi yako ni simujanja (smartphone) yako. Mtaa na soko lako ni watu wengi wasio na kikomo, waliopo WhatsApp.
Vitabu vitatu vilivyopo ndani ya kitabu hiki ni:
1. Kipato Kwa Smartphone Na WhatsApp.
2. Upatikanaji Wa Wateja Wa Uhakika Kupitia WhatsApp.
3. Ubunifu Wa Graphics Nzuri Kwa Kutumia Smartphone.
--------------------------
Kitabu hiki chenye vitabu vitatu, kinauzwa Tshs 7,000.
Ukihitaji kitabu kimoja kimoja (vilivyotengenishwa) bei zake ni:
(1) TSH 1,500 [Kipato Kwa Smartphone Na WhatsApp].
(2) TSH 2,500 [Upatikanaji Wa Wateja Wa Uhakika Kupitia WhatsApp].
(3) TSH 3,000 [Ubunifu Wa Graphics Nzuri Kwa Kutumia Smartphone].
--------------------------
Mawasiliano:
0743 517 138
0717 517 137
emmanuellibraries@gmail.com
__________________
Comments
Post a Comment