Whatsapp ina watumiaji wengi sana:
• zaidi ya bilioni 2 duniani.
• zaidi ya milioni 500 barani Afrika.
• zaidi ya milioni 10 nchini Tanzania.
Miongoni mwao, kuna wateja wako wa uhakika!
Asilimia kubwa ya watu hawa tunaweza kuwa nao kwenye vikundi mbalimbali vya WhatsApp (WhatsApp Groups).
Mwaka 2019, niligundua njia nzuri mpya, ya kuhifadhi save namba nyingi za WhatsApp kwa urahisi na haraka.
Kwa njia hii; unaweza kuongeza namba 200 hadi 300 kwa siku—bila kuathiri utendaji wako wa mambo mengine.
Tumeweka maarifa haya, kwenye kitabu kinachouzwa TSH 4,500 (softcopy—PDF). UKILIPIA KINATUMWA INBOX KWAKO WHATSAPP/E-MAIL.
Mambo Makuu Manne (4), Utakayoweza Kunufaika Nayo, Katika Kitabu Hiki:
1. Njia rahisi mpya ya kutunza (save) namba nyingi za WhatsApp kwa haraka.
2. Njia nzuri ya utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—kwa urahisi.
3. Njia rahisi ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako za biashara—ndani ya muda mfupi.
4. Jinsi ya kutengeneza uhakika na mkondo wa wateja tarajiwa wasio na kikomo kupitia WhatsApp.
-----------------------------
____________________
UBAO WA MATANGAZO MENGINE.
___________________
Emmanuel Online Library (EOL 77).
+255 743 517 138
Dodoma, Tanzania.
___________________
Comments
Post a Comment