• Uchumi, Biashara, Smartphone Na WhatsApp. Miongoni mwa vitabu na programu zetu za kushirikisha maarifa, ya namna nzuri tofauti tofauti za kunufaika kiuchumi na kibiashara mtandaoni; Emmanuel Online Library (EOL 77) tuna vitabu vyenye maarifa ya kujiajiri mwenyewe—kwa kutumia smartphone na Whatsapp. Hii ni kwa sababu, tumegundua kuna biashara na huduma nyingi ambazo tunaweza kuanzisha na kuzitoa mtandaoni. Ni mambo ambayo hayahitaji ulazima wa kukutana ana kwa ana kati ya mteja na mtoa huduma. Vitabu hivi pia, kwa mfano kitabu namba mbili [TSH 2,500]; kina maarifa ya msaada mkubwa sana kwa watu ambao tayari wanazo biashara, na wanatamani kupata njia mpya ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp—kwenye biashara au huduma zozote—ambazo wateja wake wengine hutafutwa kwa WhatsApp. Kwa wale ambao hawana biashara yoyote, inayowaingizia kipato mtandaoni; kitabu namba moja [TSH 1,500], kina maarifa ya namna nyingine nzuri, ya kutumia smartphone yako kuwahudumia wateja (watu w...
—working with and on graphics, PDFs, audios and videos.