Skip to main content

Majibu Ya Jambo Ambalo Ungependa Kulifahamu Au Kulifuatilia.

Kwa kipindi hiki, ni jambo gani ungependa kulifahamu au kulifuatilia—miongoni mwa haya?

1. Huduma Za Kutengenezewa Graphics Mbalimbali Kulingana Na Hitaji Lako [Angalia picha].

2. Tunavyofanya Matangazo Yako Kwa Kutumia Audio—Kwenye Mazingira Yako: Dukani, Mtaani, Sokoni n.k...[Angalia].

• [Angalia posti nzima].

3. Tunavyofanya Matangazo Yako Kwa Kutumia Video Fupi Fupi Za Picha—Mtandaoni [Angalia].

• [Angalia posti nzima].

4. [Kitabu] Jinsi Tunavyoweza Kujiajiri Wenyewe Kwa Smartphone Na WhatsApp [Angalia].

5. Kutengenezewa Kalenda Yenye Picha Zako Unazotaka Ziwepo [Angalia]

→• kalenda ya mfano ipo [Angalia mfano]

6. [Darasa Mtandaoni] Namna Ya Kufanya Ubunifu Wa Graphics Nzuri Kwa Smartphone Na Jinsi Ya Kuwahudumia Wahitaji (Wateja) Wake Waliopo WhatsApp [Angalia Posti nzima].

7. [Darasa Mtandaoni] Namna Nyingine (Mpya) Ya Kusevu Namba Za WhatsApp Ili Kuwafikia Watu Wengi Kwa Urahisi—Na Kuandaa Uwanja Wa Wateja Wa Uhakika Kupitia WhatsApp [Angalia Posti Nzima].
________________

Unaweza kuliwasilisha jambo husika, hata kwa kutaja namba.

Pia unaweza kutuma ujumbe wako wa kawaida (sms) kwenda namba 0743517138 au rudi inbox kwetu WhatsApp KWA KUINGIA HAPA [INBOX DOOR]

---------------------------

ANGALIA PIA PICHA ZINAZOHUSIANA:

--------------------------










__________________

Emmanuel Online Working Library.

+255 743 517 138.

emmanuellibraries@gmail.com

Dodoma, Tanzania.

__________________
















Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...