Hivi sasa mtandao wa intaneti unakupa watu wengi sana, kwa urahisi. Kwa mfano, hivi sasa Wasapu inakadiriwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni mbili (more than 2 billion users) duniani kote, zaidi ya watumiaji milioni 525 katika bara la Afrika (more than 525 million users) na zaidi ya watumiaji milioni kumi (more than 10 million users) katika nchi ya Tanzania.Najisikia vizuri tunapozidi kutambua na kukumbuka kuwa: wasapu imerahisisha vile tunavyoweza kuwafikia watu. Usiogope kuanzisha biashara au huduma fulani, hata katika mazingira ya mtandaoni, kwa kigezo cha kusema sina watu wa kuwafikia.
Miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia wasapu, kuna wateja wako wengi na wa uhakika; kwa biashara au huduma yoyote uliyonayo, na hata kwa ile unayoweza kuianzisha leo. Hauwezi kukosa wateja miongoni mwao.
Usikose kupata maarifa hata ya kuanzisha kitu rahisi cha kuwahudumia huko huko mtandaoni (biashara za bila kukutana ana kwa ana); mfano mzuri ni kubuni Graphics na kuwahudumia wahitaji wengi waliopo wasapu, kuandika na kuuza maandishi mtandaoni, kutoa huduma za kuwaandikia wengine dokumenti mbalimbali [Online Typing], kufundisha mtandaoni maarifa ya uzoefu ulionao vizuri kwenye jambo fulani, na mengine mengi.
Nakukaribisha pia ujipatie dokumenti yetu [kijitabu kifupi cha PDF] yenye maelekezo mazuri juu ya jambo hili pia.
→Angalia kava lake HAPA.
→Angalia orodha ya yaliyomo HAPA.
→Angalia ukurasa wa utangulizi HAPA.
→••kitabu hiki kipo kwenye ofa nzuri ya muda mfupi; kwa Tsh 3,500 badala ya Tshs 5,500.
→••Kipate leo kwa kukipakua wasapu, kwa kuingia HAPA.
★★★—MATANGAZO MENGINE.
1. KARIBU KWENYE HUDUMA ZETU NZURI—MTANDAONI [Angalia kwa kufungua HAPA].
Comments
Post a Comment