SAM, ESSAU & EMMANUEL (SEE) MUSIC BEATS ONLINE.
Ndugu msomaji wetu wa taarifa hii muhimu. Leo tunakuletea taarifa na tangazo la kukutengenezea biti (beat) za muziki, katika nyimbo mbalimbali za kumsifu na kumwabudu Mungu, lakini pia nyimbo za injili kwa ujumla wake.
Unatengenezewa biti (beat) zuri sana—ukiwa huko huko uliko, na kulipata kwa wasapu au baruapepe (e-mai).
Tupo Dodoma, maeneo ya NG'ONG'ONA karibu na kanisa la E.A.G.T. Vilevile tupo mtandaoni; kwa ajili ya wateja walio mbali na Dodoma.
MAELEKEZO NA MPANGILIO WA KAZI.
1. Tunafanyaje unapohitaji kutengenezewa biti (beat)?
→Tunao wataalamu wazuri katika kutambua mapema na kwa uzuri kabisa mapigo yanayotakiwa kuwepo kwenye beat lako baada ya kusikiliza maelekezo yako.
→ NJIA RAHISI YA KUTUMA MAELEKEZO YAKO.
• Ikiwa ni mwimbaji binafsi, unajirekodi kwa kuimba kawaida [kwa voice notes/recording with Smartphone) kipisi kidogo tu, na kutuma kipisi hicho kwa wasapu ili kisikilizwe na wataalamu wetu kisha kukutengenezea beat lako zuri.
• Kama ni kwaya unarekodi wimbo husika wakati wa mazoezi yenu au ibada, kisha kututumia kipisi hicho ili kisikilizwe na wataalamu wetu kwa ajili ya kukutengenezea beat.
BEI NA MUDA WA KULIPATA BEAT LAKO.
• Tsh 15,000: Biti (beat) zuri ambalo halina mapigo ya gitaa ya solo. Hili linakamilika ndani ya masaa 12, kutoka oda inapotolewa.
• Tsh 25,000: Biti (beat) zuri lenye mapigo ya gitaa zote. Hili linakamilika ndani ya masaa 24, kutoka oda inapotolewa.
Njia zetu za malipo ni M-pesa na Halopesa, baada ya beat lako kukamilika.
Karibu sana.
MAWASILIANO:
SAM: 0629137587
~~Au ingia inbox kwake kwa kugusa HAPA.
EMMANUEL: 0743517138.
Au ingia inbox kwake kwa kugusa HAPA.
Comments
Post a Comment