Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2021

KALENDA MPYA ZA MWAKA 2022—WEKA PICHA ZAKO.

------------- ----------------

JINSI YA KUUZA VIZURI KUPITIA WHATSAPP.

Whatsapp ina watumiaji wengi sana:  • zaidi ya bilioni 2 duniani.  • zaidi ya milioni 500 barani Afrika.  • zaidi ya milioni 10 nchini Tanzania. Miongoni mwao, kuna wateja wako wa uhakika! Asilimia kubwa ya watu hawa tunaweza kuwa nao kwenye vikundi mbalimbali vya WhatsApp (WhatsApp Groups). Mwaka 2019, niligundua njia nzuri mpya, ya kuhifadhi save namba nyingi za WhatsApp kwa urahisi na haraka. Kwa njia hii; unaweza kuongeza namba 200 hadi 300 kwa siku —bila kuathiri utendaji wako wa mambo mengine. Tumeweka maarifa haya, kwenye kitabu kinachouzwa TSH 4,500 (softcopy—PDF). UKILIPIA KINATUMWA INBOX KWAKO WHATSAPP/E-MAIL. Mambo Makuu Manne (4), Utakayoweza Kunufaika Nayo, Katika Kitabu Hiki: 1. Njia rahisi mpya ya kutunza (save) namba nyingi za WhatsApp kwa haraka. 2. Njia nzuri ya utumiaji wa mbinu ya P2P Sales Prospecting kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—kwa urahisi. 3. Njia rahisi ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako za biashara—ndani ya muda mfupi. ...

ZAIDI YA TSH 250,000 KWA MWEZI.

Usihangaike! Pesa Halisi Ya Mtandaoni [Kwa Watumiaji Wa WhatsApp] Inapatikana Kwa Kuwahudumia Wateja Wengi Waliopo WhatsApp. Vitabu vitatu ndani ya kitabu kimoja [Fomati: PDF]. Unapotengeneza pesa kwa kugusa mahitaji ya watu wengi, unaoweza kuwafikia ukiwa mahali ulipo, ni hakika kuwa pesa yako ni halisi.  Tunapokuwa kwenye muingiliano mkubwa wa watu, tuna nafasi kubwa nzuri ya kuwa na vitu tofauti tofauti vya kufanya, kwa ajili ya watu hao, na tukatengeneza pesa nzuri. Kuna huduma na biashara ambazo hazihitaji ulazima wa kukutana ana kwa ana, kati ya mteja na mtoa huduma au muuzaji; yaaani kuna bidhaa pia ambazo wateja huzipokea katika fomati za kielektroniki (softcopy), na kuzitumia kule waliko.  Kwa mfano, bidhaa kama audio, video, picha za matangazo au graphics, vitabu [katika fomati za PDF] na software nyingine; ni bidhaa ambazo unaweza kuzitengeneza na kuwauzia watu mtandaoni, bila kukutana nao ana kwa ana. Huduma na biashara zinazohusisha bidhaa (products) za aina hiyo,...