Tunatambua rasilimali muhimu sana duniani ni muda; maisha ya mtu yapo vile yalivyo, na yatakuwa vile yatakavyokuwa kulingana na anavyotumia muda wake.
Kwa sababu hiyo, unapotoa dakika zako chache kujibu jumbe zetu WhatsApp, tunatamani kuongeza thamani ya muda huo, kwa kukupatia ofa hii maalumu—upate kitabu chenye maarifa yatakayokupa uwezo wa kuongeza uzalishaji wako mtandaoni.
Leo, utapata:
1. Kitabu (PDF) chochote kwa bei ya punguzo: Tsh 1,500 badala ya Tsh 2,500.
• Picha ya vitabu vilivyopo kwenye ofa hii [View Image].
Pia kuna ofa ya bei punguzo kwa kupata:
2. Kalenda yenye picha zako mbili: Tsh 1,500 badala ya Tsh 2,500.
• Picha ya mfano wa kalenda [View Image].
3. Bango la kumbukumbu, lenye maandishi na picha zako unazotaka ziwepo: Tsh 2,000 badala ya Tsh 5,000.
• Picha ya mfano wa bango [View Image].
Karibu sana rafiki!
0743 517 138.
0717 517 137.
________________________________
MATANGAZO YETU MENGINE:
-----------------------------------------------
-----------------------------------------------
Emmanuel Online Working Library.
+255743517138
emmanuellibraries@gmail.com
Dodoma, Tanzania.
-----------------------------------------------
Comments
Post a Comment