Tuna vitabu tisa (9) kwenye maktaba yetu. Leo ninaomba kukuonyesha vitabu vitatu, ambavyo vimependwa na watu wengi; na tumevipa kipaumbele kwa sasa.
Chini ya kila jina la kitabu husika hapa chini, kuna mahali pa kuangalia picha yenye maelezo ya utangulizi kwa ufupi—kuhusu kitabu kilichotajwa.
--------------------------------------
VITABU:
1. Jinsi Ya Kujiajiri Mwenyewe Kwa Smartphone Na WhatsApp.
• BEI YA KITABU TSH 1,500/-
____
2. Upatikanaji Wa Wateja Wa Uhakika Kupitia WhatsApp.
• BEI YA KITABU TSH 2,500/-
____
3. Namna Ya Kutengeneza Graphics Nzuri Kwa Kutumia Simujanja (Smartphone).
• BEI YA KITABU TSH 3,000/-
--------------------------------------
--------------------------------------
_____________________
Emmanuel Online Working Library.
+255 743 517 138.
emmanuellibraries@gmail.com
Dodoma, Tanzania.
-------------------------------
Comments
Post a Comment