Tunatambua rasilimali muhimu sana duniani ni muda; maisha ya mtu yapo vile yalivyo, na yatakuwa vile yatakavyokuwa kulingana na anavyotumia muda wake. Kwa kuwa umetoa dakika kadhaa kujibu jumbe zetu WhatsApp, tunapenda kukutakia siku njema kwa ofa hizi maalumu—kwa watu wakarimu kama wewe. ---------------------------------- Leo, utapata: kitabu, kalenda, bango lenye maandishi na picha zako unazotaka au vyote, kwa punguzo kubwa mno la bei. ---------------------------------- 1. Chagua kitabu (PDF) chochote: Tsh 1,500 badala ya Tsh 2,500 kati ya hivi vilivyopo HAPA. • Picha ya vitabu vilivyopo kwenye ofa hii [View Image]. 2. Pata kalenda yenye picha zako mbili: Tsh 1,500 badala ya Tsh 2,500. • Picha ya kalenda ya mfano [View Image]. 3. Pata bango la kumbukumbu, lenye maandishi na picha zako unazotaka ziwepo: Tsh 2,000 badala ya Tsh 5,000. • Picha ya mfano wa bango [View Image]. Karibu sana rafiki! 0743 517 138. 0717 517 137. ________________________________ MATANGAZO YETU MENGINE: -----...
—working with and on graphics, PDFs, audios and videos.