kwa sababu Huduma, Vitabu na Programu Zangu za Maarifa Rahisi Yenye Tija Kiuchumi na Kibiashara Mtandaoni,
huwa nafanya kwa kuwahudumia watu wanaopatikana kupitia WhatsApp.
Pengine umejiuliza maswali kama:
• Ni huduma gani hizo?
• Ni vitabu gani?
• Na hayo maarifa rahisi yenye tija kiuchumi na kibiashara mtandaoni mtandaoni ni yapi?
Majibu ya maswali hayo, yametolewa vizuri sana kwenye maelezo machache yaliyopo hapa chini, na kwa msaada wa picha saba (7) zinazofuata baada ya maelekezo hayo.
____________
Huduma, Vitabu (softcopy), na Programu Ninazohusika Nazo ni:
(1) Ninauza kitabu na kufundisha maarifa ya ubunifu wa graphics nzuri kwa kutumia smartphone, graphics za kuuza mtandaoni—kwa wateja waliopo WhatsApp: graphics kama vile poster, mabango, business card, kalenda zenye picha, lebo za bidhaa, makava ya vitabu n.k.: TSH 3,000 (kitabu—pdf)
(2) Ninauza kitabu na kufundisha maarifa ya njia nyingine mpya iliyopo hivi sasa, ya kuongeza upatikanaji wa wateja wasio na kikomo kupitia WhatsApp—kwa biashara yako yoyote: TSH 4,500 (kitabu—pdf)
(3) Ninatengeneza graphics zifuatazo, kila unapohitaji; unazipata softcopy kupitia WhatsApp au e-mail, kwa bei hizi:
• Poster (TSH 8,000)
• Lebo za bidhaa (TSH 5,000)
• Vipeperushi (TSH 15,000)
• Bango (TSH 12,000)
• Business card (TSH 5,000)
• Logo/Nembo (25k - 50k)
• Kadi za mwaliko (Tsh 7,000)
• Kava la kitabu (TSH 12,000)
• Invoice (proforma/tax) (TSH 5,000)
(4) Ninatengeneza kalenda [ya mwaka 2022] yenye picha zako unazotaka: TSH 2,500.
(5) Ninauza dokumenti (PDF) yenye links za vikundi vya WhatsApp 240 vya kibiashara na kijamii nchini Tanzania: TSH 1,500.
(6) Ninatengeneza video fupi fupi za matangazo ya biashara kwa kuweka picha mnato: TSH 15,000/60 secs.
(7) Ninauza kitabu cha maarifa ya njia nyingine za kutengeneza sehemu ya kipato WhatsApp: TSH 2,500 (PDF).
Karibu sana.
Hapa chini kuna picha saba (7) za ufafanuzi mwingine zaidi, kuhusu hayo mambo 7 yaliyoorodheshwa hapo juu; ukihitaji lolote njoo inbox [WhatsApp] kwa namba 0743517138 [https://wa.me/255743517138]. Au piga simu au tuma ujumbe mfupi wa maandishi (sms) kwa namba hiyo au 0717517137.
_____________
PICHA ZA UFAFANUZI WA MAMBO HAYA 7:
1. Maarifa ya kudizaini graphics nzuri kwa smartphone.
2. Kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
3. Graphics unazohitaji kutengenezewa sasa.
4. Kalenda yenye picha zako.
5. Vikundi vya WhatsApp 240 vya kibiashara na kijamii nchini Tanzania.
6. Tangazo la video fupi.
7. Kutengeneza sehemu ya kipato kupitia WhatsApp.
____________________________________
Unahitaji lipi?
Unaweza kuingia inbox kwangu WhatsApp moja kwa moja, kupitia hii hapa chini:
Comments
Post a Comment