Andaa Mfumo Wa Kuwa na Wateja Wasio na Kikomo Kupitia WhatsApp, Kwa Maarifa Haya Rahisi.
Je, wajua kuwa WhatsApp ina watumiaji wengi sana hivi sasa?
Na kuna njia mpya ya kunufaika na uwepo wa maelfu ya watu tunaoweza kuwafikia kila siku kupitia WhatsApp—tupo nao kiganjani.
WhatsApp inakadiriwa kuwa na watumiaji wengi sana:
• Zaidi ya bilioni 2 duniani.
• Zaidi ya milioni 500 barani Afrika.
• Zaidi ya milioni 10 nchini Tanzania.
Wengi wao tupo nao kila siku kwenye vikundi mbalimbali vya WhatsApp. Miongoni mwao kuna wateja wako wengi na wa uhakika.
Fahamu njia nzuri, mpya na rahisi iliyopo hivi sasa; jinsi ya kuwafikia watu zaidi ya 43,200 kupitia WhatsApp (Tanzania)—ndani ya muda mfupi.
Katika mafunzo haya, utapata:
• Dokumenti yenye links za vikundi zaidi ya 240 vya WhatsApp vya kibiashara, vya nchini Tanzania.
• Kitabu cha maelekezo rahisi ya mambo makuu manne, yaliyoorodheshwa kwenye picha hapo juu.
• Darasa la maelekezo ya moja kwa moja kupitia WhatsApp; kqa siku za Jumanne, Alhamisi na Jumamosi (11:00 am - 12:00 pm).
BEI YA MAFUNZO: TSH 15,000/-.
___________
Wasiliana nasi:
📞0743 517 138
☎️0717 517 137
Comments
Post a Comment