Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2022

UNATAKA KUFANIKISHA NINI LEO?

Hapa ulipo sasa ni mahali sahihi. Umbali siyo kikwazo kwetu. Popote ulipo inawezekana kupata maarifa na huduma zetu za kukutengenezea graphics unazohitaji—leo. Gusa (click) picha husika, ili kufungua na kupata lililoonyeshwa kwenye picha ndogo ya jambo husika. ___________ _________ _________ _________ _________ _________ __________ _________ ___________ Emmanuel Online Library (EOL 77) 0743 517 138 (WhatsApp). 0717 517 137 emmanuellibraries@gmail.com

UNAPENDA KUJIFUNZA NINI?

• Emmanuel Online Productivity School ★ Ili kuanza mafunzo, kupata kitabu au kupata maelekezo mengine zaidi, njoo WhatsApp inbox: kwa kuingia moja kwa moja HAPA [INBOX DOOR] _____________ Emmanuel Online Library (EOL 77). 0743 517 138 (WhatsApp) 0717 517 137 _____________

Unahitaji Kutengenezewa Graphic Ipi Leo?

_____________ ★ Graphics unazotengenezewa kwetu unazipata (softcopy) kama picha, PDF au video—kupitia WhatsApp au baruapepe (e-mail). ★ Kama zinatakiwa ku-print, unai-print huko uliko, baada ya kuipata kazi yako kupitia WhatsApp/e-mail. Graphics hizi ni:       • Poster       • Lebo za bidhaa       • Vipeperushi       • Bango        • Business card       • Logo/Nembo       • Kadi za mwaliko       • Kava la kitabu       • Kalenda (2022) yenye picha zako       • Video fupi ya tangazo lako kwa kutumia picha mnato.       • Invoice (proforma/tax). Ungependa kutengenezewa ipi kwa sasa?✍🏼 ___________ Emmanuel Online Library 0743 517 138 0717 517 137

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

Jinsi Ya Kuongeza Wateja Wasio Na Kikomo.

Andaa Mfumo Wa Kuwa na Wateja Wasio na Kikomo Kupitia WhatsApp, Kwa Maarifa Haya Rahisi. Je, wajua kuwa WhatsApp ina watumiaji wengi sana hivi sasa? Na kuna njia mpya ya kunufaika na uwepo wa maelfu ya watu tunaoweza kuwafikia kila siku kupitia WhatsApp—tupo nao kiganjani. WhatsApp inakadiriwa kuwa na watumiaji wengi sana: • Zaidi ya bilioni 2 duniani. • Zaidi ya milioni 500 barani Afrika. • Zaidi ya milioni 10 nchini Tanzania. Wengi wao tupo nao kila siku kwenye vikundi mbalimbali vya WhatsApp. Miongoni mwao kuna wateja wako wengi na wa uhakika. Fahamu njia nzuri, mpya na rahisi iliyopo hivi sasa; jinsi ya kuwafikia watu zaidi ya 43,200 kupitia WhatsApp (Tanzania)—ndani ya muda mfupi. Katika mafunzo haya, utapata: • Dokumenti yenye links za vikundi zaidi ya 240 vya WhatsApp vya kibiashara, vya nchini Tanzania. • Kitabu cha maelekezo rahisi ya mambo makuu manne, yaliyoorodheshwa kwenye picha hapo juu. • Darasa la maelekezo ya moja kwa moja kupitia WhatsApp; kqa siku za Jumanne, Al...