Napenda kufahamiana na watu mbalimbali wanaopatikana kupitia Whatsapp; kwa sababu Huduma, Vitabu na Programu Zangu za Maarifa Rahisi Yenye Tija Kiuchumi na Kibiashara Mtandaoni, huwa nafanya kwa kuwahudumia watu wanaopatikana kupitia WhatsApp. Pengine umejiuliza maswali kama: • Ni huduma gani hizo? • Ni vitabu gani? • Na hayo maarifa rahisi yenye tija kiuchumi na kibiashara mtandaoni mtandaoni ni yapi? Majibu ya maswali hayo, yametolewa vizuri sana kwenye maelezo machache yaliyopo hapa chini, na kwa msaada wa picha saba (7) zinazofuata baada ya maelekezo hayo. ____________ Huduma, Vitabu (softcopy), na Programu Ninazohusika Nazo ni: (1) Ninauza kitabu na kufundisha maarifa ya ubunifu wa graphics nzuri kwa kutumia smartphone, graphics za kuuza mtandaoni—kwa wateja waliopo WhatsApp: graphics kama vile poster, mabango, business card, kalenda zenye picha, lebo za bidhaa, makava ya vitabu n.k.: TSH 3,000 (kitabu—pdf) (2) Ninauza kitabu na kufundisha ma...
—working with and on graphics, PDFs, audios and videos.