Habari nzuri [ya ubunifu] kwa wakazi wa SUMBAWANGA MJINI, na maeneo ya karibu. EO LIBRARY, tunatengeneza kalenda za mwaka 2022; zenye picha zako unazotaka. Ukiwa Sumbawanga mjini, utaipata kalenda yako ikiwa imechapishwa kwenye picha kubwa. Tuma tu picha zako kwa WhatsApp au e-mail, na uipate kalenda yako leo leo—hapa mjini. BEI: TSH 5,000 (A3). TSH 3,000 (A4). Sampo za kalenda zetu zipo hapa chini. ------------------------- Walio nje ya Sumbawanga mjini au mbali, mikoa na maeneo mengine; wanazipata kalenda zao leo katika fomati za PDF na picha (softcopy)—kupitia WhatsApp na e-mail— kwa TSH 2,500/-. Watazitumia hizo watakazotumiwa kwa WhatsApp na e-mail, wakati wa ku-print, kule kule waliko; mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha). Emmanuel Online Library (EOL 77) 0743 517 138. 0717 517 137
—working with and on graphics, PDFs, audios and videos.