EMMANUEL ONLINE STORE AND LIBRARY (EOSL 77).
—••—Katika kukuelekeza mambo haya; tunatumia audio zilizorekodiwa vizuri (mp3), vitabu vidogo vidogo [Softcopy, PDF] na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi vyetu vya WhatsApp (WhatsApp Groups).
—••—Njia zetu zinakusaidia kupata uwezo wa kuanza kuyatumia maarifa haya ndani ya muda wa siku chache sana [siku 5 hadi 7], kwa kila programu husika.
—••—Maelekezo ya namna ya kupata maarifa ya programu husika yapo mwishoni. Mwisho wa orodha hii ya programu hizi. Ukiwa mtumiaji wa Whatsapp, itakuwa rahisi sana. Karibu.
Kwa sasa tumezipa kipaumbele programu kumi (P# 01 hadi P# 10). ANGALIA HADI MWISHO NA UCHAGUE UNAYOHITAJI KUANZA NAYO KWA SASA. Maarifa utakayoyapata kwetu ni:
Kwa sasa tumezipa kipaumbele programu kumi (P# 01 hadi P# 10). ANGALIA HADI MWISHO NA UCHAGUE UNAYOHITAJI KUANZA NAYO KWA SASA. Maarifa utakayoyapata kwetu ni:
- Duka Lako Rahisi la Mtandaoni.
- Picha za Graphics—Kuzitengeneza Mwenyewe na kuziuza mtandaoni.
- Wateja Wako Wengi Waliopo Whatsapp.
- Miliki shule yako ndogo na rahisi—mtandaoni.
- Kuuza Maandishi Yako—Mtandaoni.
- Andika Kwa Mkono na Uuzie Mtandaoni.
- Advanced Stationery Skills.
- Fahamu Kuwafungulia Wengine Chaneli za Youtube.
- Wateja Wako Siyo Hao Tu.
- Namna ya kufungua blogu yako rahisi—mwenyewe. —Hata kwa Simujanja (Smartphone) Tu.
Maelekezo ya kila programu yapo hapa chini; angalia hadi mwisho na uchague ile unayohitaji.
P# 01:
P# 01:
1. DUKA LAKO RAHISI LA MTANDAONI.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa haya yatakusaidia vizuri sana; kufungua blogu yako ndogo na rahisi na kwa hatua zilizowasilishwa vizuri. Pia utafahamu namna nzuri ya kuitumia vizuri blogu hiyo, kama duka lako la mtandaoni. Maelekezo rahisi yapo kwa kitabu kilicho katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF), audio na majibu ya maswali yako moja kwa moja; unayoweza kuuliza kwenye makundi yetu ya Whatsapp.
Maarifa haya yatakusaidia vizuri sana; kufungua blogu yako ndogo na rahisi na kwa hatua zilizowasilishwa vizuri. Pia utafahamu namna nzuri ya kuitumia vizuri blogu hiyo, kama duka lako la mtandaoni. Maelekezo rahisi yapo kwa kitabu kilicho katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF), audio na majibu ya maswali yako moja kwa moja; unayoweza kuuliza kwenye makundi yetu ya Whatsapp.
Ni vyema uwe na blogu yako ndogo na rahisi; kwa ajili ya kuweka posti zenye kuonyesha picha na maelezo [kwa ufupi] kuhusu bidhaa zako. Eneo hili liwe ni eneo lako binafsi unapoweza kuwapeleka watu mbalimbali na wakaziangalia bidhaa zako kwenye utulivu. Utaelekezwa pia namna ya au kusaidiwa, kuliweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [yenye picha za bidhaa zako na link zilizofichwa kwenye maneno fulani ya kila bidhaa]. Dokumenti hii [ya PDF, yenye kuonyesha duka lako] itatumika kutembeza duka lako mtandaoni—kwa urahisi.
Popote itakapofika dokumenti hiyo; mteja atakayegusa maneno yenye link ya inbox kwako, ataletwa moja kwa moja inbox kwako [ikiwa ni mtumiaji wa Whatsapp]. Pia inaweza kufichwa link ya eneo lako lingine lolote mtandaoni, kule unataka mteja apelekwe baada ya kugusa maneno fulani kwenye dokumenti hiyo.
YALIYOMO:
- Duka la mtandaoni ni nini?
- Kila kitu kinaweza kuuzwa kwa mtandao wa Intaneti
- Upatikanaji wa wateja wako wengi—miongoni mwa mamilioni ya watu wanaotumia WhatsApp [Kwa biashara yako yoyote].
- Kuweka duka lako kwenye dokumenti rahisi ya PDF [—Ili litembee kwa urahisi sana—mtandaoni].
P# 02:
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. Ikiwa utaanza kufanya jambo hili kwa lengo la kuziuza graphics zako mtandaoni, nimetoa pia maelekezo ya namna nzuri ya kuwapata wateja wako wa uhakika waliopo Whatsapp.
Katika maelekezo haya hauhitaji kuwa na maarifa tata ya programu zilizozoeleka kama vile Adobe Photoshop n.k, badala yake ni maelekezo ya kuitumia App nzuri na rahisi—inayofanya kazi vizuri hata kwenye smartphone. Ikiwa utaanza kufanya jambo hili kwa lengo la kuziuza graphics zako mtandaoni, nimetoa pia maelekezo ya namna nzuri ya kuwapata wateja wako wa uhakika waliopo Whatsapp.
Maelekezo yote yamewasilishwa kwa njia rahisi sana; kiasi kwamba unaweza kufanya jambo hili vizuri kabisa—ndani ya siku chache sana (siku 5 hadi 7).
Baadhi ya Graphics ambazo utaanza kuzidizaini mapema kwa kadiri unavyopokea maelekezo ya programu hii ni: Flyers, Web banners, Business cards, Book covers, Social media profiles, Logo, Greeting cards, Posters, Invitation, Price Lists & menus n.k.
YALIYOMO:
- Njia na App rahisi niliyoitumia kutengeneza 'Graphics' nzuri na rahisi— kwa simu janja (smartphone) tu.
- Jinsi nilivyokuwa na blogu rahisi ya bure kwa ajili ya kutangazia Graphics zangu —Blogu niliyoifungua mwenyewe [bila uzoefu] ndani ya dakika 20 tu.
- Jinsi unavyoweza kuitumia Whatsapp, kupata wateja wengi wa Graphics zako.
- Niliwahudumiaje watu walio mbali, walipohitaji kuwatengenezea Graphics—wakiwa kule waliko?
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 31.
P# 03:
—★ JINSI NILIVYOANZA NA NINAVYOHIFADHI NAMBA ZA WHATSAPP KWA AJILI YANGU NA WATEJA WANGU (T77-03).
—$—Ili kupata wateja wetu waliopo mtandaoni, kwa urahisi kupitia Whatsapp.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
Ni vyema upate maarifa ya programu hii:
—$—››››› Ili usitegemee status na utumaji tu wa matangazo ndani ya makundi ya WhatsApp [Wateja wako ni wengi, kuliko wale unawapata kwa wakati huu].
Uweze kufahamu njia mbili [mpya] rahisi za kukusanya na kusevu namba nyingi za washirika wote wa makundi yote ya whatsapp unayojiunga.
Utafahamu na kuelewa vizuri, utumiaji wa mbinu ya 'P2P Sales Prospecting' kwenye namba ulizokusanya haraka]. Hii ni kwa sababu mbinu hii ndiyo yenye ufanisi mkubwa; katika kutangaza na kushirikisha biashara yako ipasavyo—kupitia WhatsApp.
YALIYOMO:
- Taswira halisi ya Whatsapp kwa sasa.
- Namna nzuri na rahisi za kusevu namba zote za washirika wote wa makundi ya wasapu— uliyomo na yale usiyokuwemo ndani yake.
- Utumiaji wa P2P kupitia Whatsapp: Njia nzuri na rahisi ya kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako, watu uliosevu namba zao za Whatsapp.
Fomati:PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 58.
P# 04:
4. MILIKI SHULE YAKO NDOGO NA RAHISI—MTANDAONI.
★—$—Namna rahisi ya kuigeuza blogu yako ya bure na kuanza kuitumia kama SHULE YAKO RAHISI YA MTANDAONI.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako kizuri sana—mtandaoni. Kuna namna nzuri sana ya kuuza video, audio, picha na maandishi (vitabu/dokumenti) yenye maarifa yanayohitajika na kutafutwa sana na watu wengi waliopo mtandaoni.
Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako kizuri sana—mtandaoni. Kuna namna nzuri sana ya kuuza video, audio, picha na maandishi (vitabu/dokumenti) yenye maarifa yanayohitajika na kutafutwa sana na watu wengi waliopo mtandaoni.
Popote ulipo na katika kiwango chochote ulichonacho, haijalishi—nitakupa maelekezo ya namna nzuri ya kuanza kufanya jambo hili. Kabla haujaingia kwenye mipango mikubwa ya kutumia majukwaa ya kimataifa [—kama vile: ]; yaliyopo kwa ajili ya kufungua tovuti rasmi zenye sifa ya kutumika kama shule za mtandaoni, ni vyema uanze na njia rahisi. Utaelekezwa namna nzuri na rahisi ya kuanza kwa kuitumia blogu ndogo ya bure kama shule yako ya mtandaoni. Pia utapata maarifa ya kuiunganisha blogu yako rahisi na namba yako ya Whatsapp, bila kusahau namna ya kuyaunganisha hayo na chaneli yako ya Youtube—itakayotumika kutangazia tu (kwa clip fupi fupi)—kuhusu yale yaliyopo kwenye programu zako.
YALIYOMO:
- Hatua chache za muhimu katika kufungua blogu ndogo na rahisi—kwa kupitia majukwaa maalumu ya mtandaoni.
- Hatua chache za muhimu katika kuifanya blogu yako iwe shule ya mtandaoni.
- Namna nzuri ya kushirikisha mafunzo yaliyolipiwa na wanafunzi wako–kwenye blogu yako ya bure.
- Unapata wapi wateja au wanafunzi wako?
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 114.
P# 05:
5. KUUZA MAANDISHI YAKO—MTANDAONI.
CODE: Selling Your Documents (PDF) Online (SYDO 77).
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Maarifa ya mawazo yenye tija—yanayokuja kila siku kwenye akili yako, yanahitajika sana na watu wengi sana waliopo mtandaoni. Mtandaoni kuna mamilioni ya watu wanaoweza kukulipa kwa maarifa yenye tija, uliyonayo. Lakini pia, najua unao uzoefu mzuri sana katika jambo fulani ambalo lina manufaa makubwa kwa wengine pia. Katika maarifa ya programu hii; utaweza kufahamu njia rahisi sana za kuweka maarifa hayo kwenye maandishi na dokumenti nzuri sana (fupi fupi) utakazoziuza mtandaoni [—katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF)]. Pia utafahamu vizuri sanà; njia rahisi sana za kupokea malipo ya mauzo ya maandishi yako, kutoka kwa mtu aliye mahali popote duniani.
Maarifa ya mawazo yenye tija—yanayokuja kila siku kwenye akili yako, yanahitajika sana na watu wengi sana waliopo mtandaoni. Mtandaoni kuna mamilioni ya watu wanaoweza kukulipa kwa maarifa yenye tija, uliyonayo. Lakini pia, najua unao uzoefu mzuri sana katika jambo fulani ambalo lina manufaa makubwa kwa wengine pia. Katika maarifa ya programu hii; utaweza kufahamu njia rahisi sana za kuweka maarifa hayo kwenye maandishi na dokumenti nzuri sana (fupi fupi) utakazoziuza mtandaoni [—katika fomati ya kielektroniki (softcopy, PDF)]. Pia utafahamu vizuri sanà; njia rahisi sana za kupokea malipo ya mauzo ya maandishi yako, kutoka kwa mtu aliye mahali popote duniani.
YALIYOMO:
- Urahisi uliopo hivi sasa —katika kuuza maandishi/vitabu vyako mtandaoni.
- Njia rahisi ya kuandika dokumenti au vitabu vyako kwa haraka—Kwa simujanja (Smartphone) yako tu.
- Kwa nini ni vyema pia uuzie mtandaoni?
- Blogu nzuri na rahisi ya kuanza nayo —katika kuuza dokumenti au vitabu vyako.
- Mbinu nzuri na rahisi ya kuwatambua, kuwafikia na kufaidi wateja wengi wa maandishi/vitabu vyako—mtandaoni.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 38.
P# 06;
Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wenye mwandiko mzuri wa maandishi ya kuandikwa kwa mkono; unayo fursa nzuri sana ya kuandika maandishi ya maarifa mbalimbali, aidha kwenye taaluma fulani uliyonayo au mafundisho yanayohitajika na watu wengi sana. Kwa sababu pia utapata maarifa ya namna nzuri ya kuuza maandishi hayo mtandaoni, utakuwa na uwanja mkubwa wa wateja wengi sana—wasio na idadi, walipo kwenye mtandao wa intaneti.
Utaelekezwa namna ya kutengeneza na kupata dokumenti nzuri sana, inayotokana na picha nzuri za kurasa ulizoandika kwa mkono. Utaelekezwa namna ya kufanya scanning nzuri sana ya picha hizo [za kurasa ulizoandika kwa mkono], kwa vifaa rahisi ulivyonavyo hata sasa. Utaweza kupata blogu yako ndogo na rahisi kwa ajili kuweka posti zinazotangaza dokumenti zako.
YALIYOMO:
- Kazi za vifaa maalum kwa ajili ya kufanikisha uuzaji wa maandishi yako mtandaoni, uliyoyaandika kwa mwandiko wa mkono.
- Mfumo rahisi wa mtandaoni utakaokusaidia kufanikisha uuzaji huo bila gharama kubwa.
- Ubora utakaokupeleka mbali na kukuingiza kwenye mpango mkubwa wa blogu na mitandao ya kijamii.
- Namna ya kuwafahamisha wahitaji wa maandishi yako kuwa upo mtandaoni (njia nzuri za kuwatambua na kuwafikia wateja wako.
- Maoni mengine kutoka kwa mwandishi.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 35.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
P# 07:
Hivi sasa, watu wanaohitaji kuandikiwa kazi mbalimbali za maandishi (dokumenti)—kwa haraka, ni wengi sana. Idadi yao haiwiani na watoaji wa huduma hii. Na hata kule tunakoelekea idadi ya wahitaji wa huduma hii watakuwa wengi sana.
Ukifahamu namna unavyoweza kuwahudumia watu hawa na kuwapatia kazi zao hata kwa njia ya mtandao wa intaneti, utakuwa miongoni mwa watu wachache wanaingiza sehemu ya kipato chao—kwa kuwasaidia watu wengi sana mtandaoni, kuandika kazi za maandishi na kuwatumia wakiwa kule waliko; katika fomati ya kielektroniki [softcopy, PDF/word & post] —kwa Whatsapp au baruapepe (e-mail).
Ukifahamu namna unavyoweza kuwahudumia watu hawa na kuwapatia kazi zao hata kwa njia ya mtandao wa intaneti, utakuwa miongoni mwa watu wachache wanaingiza sehemu ya kipato chao—kwa kuwasaidia watu wengi sana mtandaoni, kuandika kazi za maandishi na kuwatumia wakiwa kule waliko; katika fomati ya kielektroniki [softcopy, PDF/word & post] —kwa Whatsapp au baruapepe (e-mail).
YALIYOMO:
- Kufanya kazi za Stationery Mtandaoni ni nini?
- Kwa nini simu janja (Smartphone) yako ni kifaa muhimu katika kufanikisha kazi zako za stationery kwa njia ya mtandao?
- Apps muhimu za kuwezesha kwenye simu Janja (Smartphone) yako kurahisisha kazi zako [Urahisi kuliko ulivyodhani].
- Namna ya kuwahudumia wateja walio mbali kupitia mtandao.
- Namna gani na wapi upate link salama ya kupokelea malipo ya wateja wako walio mbali mtandaoni?
- Nyongeza kutoka kwa mwalimu na mwandishi.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 62.
P#09:
Hivi sasa kila kitu au bidhaa ya biashara yoyote uliyonayo inaweza kutangazwa na kuuzwa kupitia mtandao wa intaneti. Pia zipo huduma nyingi unazoweza kutoa kwa kupitia intaneti. Mtandaoni kuna watu wengi sana na wenye mapendeleo na mahitaji tofauti tofauti [—kuna mamilioni ya watu]. Ukiamua kujifunza njia hizi zenye ufanisi mkubwa katika kuwafikia watu wengi kwa urahisi, utashangazwa sana na matokeo mazuri utakayoyaona. Katika huduma na biashara yoyote uliyonayo, kuna wateja wengi na wa uhakika—miongoni mwa mamilioni ya watu unaoweza kuwafikia kwa urahisi sana mtandaoni [popote ulipo].
YALIYOMO:
- Siri kuhusu wateja wengi wasio na idadi [idadi kubwa mno] mtandaoni.
- Namna nzuri ya kuwa na watu wengi wa kuwashirikisha na kuwatangazia biashara yako mtandaoni.
- Njia nzuri za kuwatangazia na kuwashirikisha watu wengi biashara yako mtandaoni. →→→Namna ya kuhifadhi (saving) namba za washirika wote wa makundi mbalimbali ya whatsapp. →→→Njia nzuri za kuwatangazia watu uliohifadhi namba zao za wasapu—na faida zake. →→→Kutuma tangazo au taarifa ya mwaliko,kwa watu wako wengi.
- Maoni ya uhakika kuhusu maduka ya mtandaoni. →→→Bidhaa halisi zinazoshikika (tangible/physical products) katika maduka ya mtandaoni. →→→Bidhaa za kidigitali (Downloadable/Digital products) katika maduka ya mtandaoni.
- Duka rahisi linalotembea mtandaoni kwa kubebwa kwenye dokumenti ya PDF.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 75.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
P# 10:
10. NAMNA YA KUFUNGUA BLOGU YAKO RAHISI—MWENYEWE.
—Hata kwa Simujanja (Smartphone) Tu.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
—Hata kwa Simujanja (Smartphone) Tu.
UTANGULIZI KWA UFUPI:
Pengine hauna maarifa ya lugha ya kompyuta (Programming) kwa ajili ya kutengenezea blogu yako mwenyewe; lakini katika maarifa yaliyowasilishwa humu, kwenye kitabu kidogo chenye maelekezo mazuri, utaelekezwa namna rahisi [hatua kwa hatua—kwa msaada wa picha] katika kutumia majukwaa ya mtandaoni kufungua blogu yako ndogo na rahisi. Majukwaa ya mtandaoni [Platforms]; yapo kwa ajili ya watu ambao hawana maarifa yoyote juu ya lugha ya kompyuta katika kubuni tovuti au blogu, na wanahitaji blogu ndogo na rahisi za kutumia.
Katika kitabu hiki rahisi; unapata maelekezo ya hatua kwa hatua, unapofungua blogu yako ndogo na rahisi kwenye majukwaa mawili maarufu: Blogspot na WordPress.
YALIYOMO:
- Namna ya kufungua blogu ndogo rahisi ya bure—kwenye jukwaa la Blogspot.
- Namna ya kufungua blogu ndogo rahisi ya bure—kwenye jukwaa la WordPress.
Fomati: PDF & Audio.
Idadi ya kurasa: 28.
Njia ya kupokea: WhatsApp [HAPA]/e-mail.
★★★★★
★—•••UNAWEZA KUZIPATA HATA SASA, WAKATI NDIYO HUU.
Ikiwa unahitaji maarifa yaliyopo kwenye programu yoyote hapo juu; nitaarifu kwa namba 0743517138 au ikiwa unatumia WhatsApp wakati huu fungua kwa KUGUSA HAPA [CLICK].
—$—€
POSTI ZILIZOSOMWA NA WATU WENGI.
- Maarifa Unayoyahitaji Sana—Yanapatikana Kwetu [CLICK get us online]
- Soko Lako Limeonekana—Biåsharã Yako Itafahamika Sanà [CLICK, get us online]
Comments
Post a Comment